Ke yeyote mahabuba wake wa ukweli ni pesa, akihakikishiwa huduma/mahitaji ya ulazima kibinadamu na haijalishi Me ni sura gome, ana kibamia, hajui kuvaa, elimu dunia ndogo, mfupi kama Zakayo, ana kisamaki au ulemavu wowote ila lazima Ke atakojoa hata kabla ya kupigwa romance na atatoa ushirikiano wa mauno feni na miguno yote ya kimahaba vizuri sana kwa Me hadi kufika kileleni.
Pesa ni uthibitisho wa kutokomeza misimamo yoyote ya upendo, tabia, dini, maadili, imani, mila, desturi, tamaduni, falsafa, siasa, elimu dunia, kazi, umaarufu, uzuri, maarifa, mitizamo, uwezo, vipaji, hadhi/heshima, undugu, mipango, mikakati, malengo, dira n.k na popote duniani.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.