Huu ni Utapeli au ndivyo Biashara inavyofanywa?

Wajuzi mnaonunua magari mara kwa mara naomba uzoefu wenu hasa mnaonunua magari mikononi kwa watu

Leo Kuna Gari nilikuwa nataka kununua kwa mtu lakini Dalali kaja na mtu anayedai ni mmiliki wa hiyo Gari lakini Cha ajabu Majina yake hayapo kwenye kadi ya Gari anadai hakufanya transfer

Sasa Wakati tunataka kufanya Biashara wakadai issue ya Majina Haina tabu kwamba wao niwape Chao then Mimi kwa muda wangu nitaenda TRA kufanya transfer ya Majina bila mmiliki wa mwanzo kuwepo.

Sasa swali lipo hapo, inawezekana kufanya transfer ya Majina kwenye kadi ya Gari bila mmiliki kuwepo?
HAPANA usikubali na unatakiwa kwenda mamlaka ya mapato kuthibitisha nyaraka na kama gari halina mikopo
 
Wajuzi mnaonunua magari mara kwa mara naomba uzoefu wenu hasa mnaonunua magari mikononi kwa watu

Leo Kuna Gari nilikuwa nataka kununua kwa mtu lakini Dalali kaja na mtu anayedai ni mmiliki wa hiyo Gari lakini Cha ajabu Majina yake hayapo kwenye kadi ya Gari anadai hakufanya transfer

Sasa Wakati tunataka kufanya Biashara wakadai issue ya Majina Haina tabu kwamba wao niwape Chao then Mimi kwa muda wangu nitaenda TRA kufanya transfer ya Majina bila mmiliki wa mwanzo kuwepo.

Sasa swali lipo hapo, inawezekana kufanya transfer ya Majina kwenye kadi ya Gari bila mmiliki kuwepo?
Sometimes, kuna watu baadhi kwa nature za kazi zao kuwa sensitive, au kuwa exposed na upigaji wa hela, mfano anafanya kazi bandarini, TRA, au sehem yenye hela, wengi huwa hawapendi kununua magari, nyumba au viwanja na hata kuanzisha biashara kwa majina yao halisi kwa kuogopa siku wakibananishwa kwenye 18 wakianza kusaka mali zake wasimkamate na kitu/ vitu vinavyo soma majina yake,

This is kind of kutakatisha pesa yake,na kuilinda, hivyo ananunua gari kwa jina la mdogo ake au kaka ake,(hasa ndugu yake wa karibu sana bila ndugu huyo kujua) sasa siku anataka kuliuza obvious mnunuzi ataona yeye jina lake kama muuzaji siyo linalosoma kwenye kadi, ila vitambulisho na kadi OG vyote vipo na taarifa zilzopo data base ya TRA zina tally na kadi. Kwa mazingira kama haya tafuta kishoka mzoefu mpatie ID na Kadi ya gari azame TRA andaa mpunga kidogo chap kazi imeisha. Sio kila gari isiyo na jina la anae kuuzia ni gari ya magumashi. Wengi hawapendi TIN namba zao kusomeka wanamagari mengi au magari ya gharama, sometimes mambo za kufatiliana zinakuaga jau sana.
 
Ni kweli wengi tumenunua magari ambayo wenye majina kwenye card hatuwajui..

LAKINI...

Tunanunua kwa watu ambao tunafahamiana nao.
 
Bro nyakati zimebalika mm nimenunua gari kutoka sahara morors lenye jina........ Namba CLC nikakabidhiwa kadi, pasport mbili za mmiliki na kitambulisho chake cha taifa, na mkataba unaosoma sahara motors nimefanya transfer fresh bila usumbufu wowotr TRA, SIO lazima mmiliki awepo kikubwa uwe na viambato, maana walengaji huwa hawabadili kadi ya gari wao wananunua na kuirekebisha kisha kuiuza tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa gari sio nyanya, mkuu nenda kwanza TRA. wasikupeleke peleke kama pia. Anzia TRA wakupe uhakika then kwenye mauziano tafuta watu wa mamlaka muandikishiane mkiwa nao. Mimi huwa sichelewi kwenda kuandikishiana na watu polisi.
Wajuzi mnaonunua magari mara kwa mara naomba uzoefu wenu hasa mnaonunua magari mikononi kwa watu

Leo Kuna Gari nilikuwa nataka kununua kwa mtu lakini Dalali kaja na mtu anayedai ni mmiliki wa hiyo Gari lakini Cha ajabu Majina yake hayapo kwenye kadi ya Gari anadai hakufanya transfer

Sasa Wakati tunataka kufanya Biashara wakadai issue ya Majina Haina tabu kwamba wao niwape Chao then Mimi kwa muda wangu nitaenda TRA kufanya transfer ya Majina bila mmiliki wa mwanzo kuwepo.

Sasa swali lipo hapo, inawezekana kufanya transfer ya Majina kwenye kadi ya Gari bila mmiliki kuwepo?
 
Shukrani mkuu kwa muongozo....Iko hivi, huyu anayetaka kuniuzia Gari Majina yake hayasomi kwenye kadi ila amekuja na kopi ya kitambulisho Cha mhusika wa Hilo gari ambalo amedai kalinunua kutoka kwake

Wenyewe wanadai kuwa wakinunua Magari kwaajili ya kufanya Biashara huwa hawabadilishi Majina kadi wanaiacha kama ilivyo, Sasa wakishapata mteja ndio wanamshauri ku transfer Majina...hapo ndio nilitaka kujua kwamba hizi Biashara zinafanyikaga hivi au ni ujanja ujanja tu?
Ukijichanganya tu umekwisha....
 
Hivyo vyote jamaa kaja navyo, kitambulisho Cha huyo aliyekuwa mmiliki wa Hilo gari, Kadi OG, so nilitaka kujua kwamba kama TRA wanaweza kufanya transfer ya Majina kwa kopi ya kitambulisho tu bila mwenye kitambulisho chake kuwepo (ambaye ndiye aliyekuwa akimiliki gari)

Mfn: wewe unipe Kadi ya Gari lako pamoja na kopi ya kitambulisho nikifika TRA naweza kufanya Transfer ya Majina kuja kwangu bila wewe kuwepo?
Haiwezekani hiyo
 
Bro nyakati zimebalika mm nimenunua gari kutoka sahara morors lenye jina........ Namba CLC nikakabidhiwa kadi, pasport mbili za mmiliki na kitambulisho chake cha taifa, na mkataba unaosoma sahara motors nimefanya transfer fresh bila usumbufu wowotr TRA, SIO lazima mmiliki awepo kikubwa uwe na viambato, maana walengaji huwa hawabadili kadi ya gari wao wananunua na kuirekebisha kisha kuiuza tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukiletewa msala Mwenye Jina kwenye hiyo Kadi amaeuawa na kanyang'anywa gari ndio utajua hujui!

Kuna watu nawafahamu wako ndani Kwa hiyo misala usiombe ukakutwa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Shukrani mkuu kwa muongozo....Iko hivi, huyu anayetaka kuniuzia Gari Majina yake hayasomi kwenye kadi ila amekuja na kopi ya kitambulisho Cha mhusika wa Hilo gari ambalo amedai kalinunua kutoka kwake

Wenyewe wanadai kuwa wakinunua Magari kwaajili ya kufanya Biashara huwa hawabadilishi Majina kadi wanaiacha kama ilivyo, Sasa wakishapata mteja ndio wanamshauri ku transfer Majina...hapo ndio nilitaka kujua kwamba hizi Biashara zinafanyikaga hivi au ni ujanja ujanja tu?
Ikibidi ni bora hata kuwapa pesa waende TRA wakabadili jina kutoka kwa mmiliki wa mwanzo kuja kwa anayetaka kukuuzia sasa.
Ununuzi wako uwe kati yako na mmiliki aliyepo kwenye kadi.
 
Hivyo vyote jamaa kaja navyo, kitambulisho Cha huyo aliyekuwa mmiliki wa Hilo gari, Kadi OG, so nilitaka kujua kwamba kama TRA wanaweza kufanya transfer ya Majina kwa kopi ya kitambulisho tu bila mwenye kitambulisho chake kuwepo (ambaye ndiye aliyekuwa akimiliki gari)

Mfn: wewe unipe Kadi ya Gari lako pamoja na kopi ya kitambulisho nikifika TRA naweza kufanya Transfer ya Majina kuja kwangu bila wewe kuwepo?
Nenda TRA utapewa mwongozo.
 
Chukuwa nakal ya kitambulisho Cha kwake yey na kad ya gar kadi hyo kma jina linafanana na majina ya kwenye kitambulisho chukua gar tamba nalo acha uogaaa kak

Nenda tra cheki Kama halina dosar za mapato Kisha lipa siyo lzm ukutane na mmiliki
 
Siku ukiletewa msala Mwenye Jina kwenye hiyo Kadi amaeuawa na kanyang'anywa gari ndio utajua hujui!

Kuna watu nawafahamu wako ndani Kwa hiyo misala usiombe ukakutwa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Punguza ujuaji, maisha yamebadilika, kuna watu wamesajili kampuni sheria kabisa kazi yao kulenga mqgari na kuyauza tena, kwa mwanza kampuni ni nyi gi na wanalipa kodi, na wanatambulika kisheria..... Unakuwa mjuaji u akuta haujawahi hata kununua gari tuulize tulio field
 
Wajuzi mnaonunua magari mara kwa mara naomba uzoefu wenu hasa mnaonunua magari mikononi kwa watu

Leo Kuna Gari nilikuwa nataka kununua kwa mtu lakini Dalali kaja na mtu anayedai ni mmiliki wa hiyo Gari lakini Cha ajabu Majina yake hayapo kwenye kadi ya Gari anadai hakufanya transfer

Sasa Wakati tunataka kufanya Biashara wakadai issue ya Majina Haina tabu kwamba wao niwape Chao then Mimi kwa muda wangu nitaenda TRA kufanya transfer ya Majina bila mmiliki wa mwanzo kuwepo.

Sasa swali lipo hapo, inawezekana kufanya transfer ya Majina kwenye kadi ya Gari bila mmiliki kuwepo?
Duh pole sn... Hapo lzm uwe makin madalal nao ni kuwa nao makin mno... 0764423726 nauz gar Ina miaka 2 tu since iwe imported..
 
Kikubwa hapo unatakiwa upate kitambulisho cha mmiliki ambae jina linasoma kwenye kadi pamoja pasport size yake.
 
Shukrani mkuu kwa muongozo....Iko hivi, huyu anayetaka kuniuzia Gari Majina yake hayasomi kwenye kadi ila amekuja na kopi ya kitambulisho Cha mhusika wa Hilo gari ambalo amedai kalinunua kutoka kwake

Wenyewe wanadai kuwa wakinunua Magari kwaajili ya kufanya Biashara huwa hawabadilishi Majina kadi wanaiacha kama ilivyo, Sasa wakishapata mteja ndio wanamshauri ku transfer Majina...hapo ndio nilitaka kujua kwamba hizi Biashara zinafanyikaga hivi au ni ujanja ujanja tu?
Kipi umeshindwa kuelewa hapa na unaendelea kutoa maelezo marefu yasiyo na sababu? Umeambiwa achana nao full stop! Utapigwa sasa hivi!
 
Mkuu kama unanumua gari vitu muhimu ni picha ya passport, copy ya kutambulisho(uraia/Licence) na kadi og ya gari. Ukiwa na hizo doc kubadilisha umiliki ni chap tu
 
Back
Top Bottom