Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Thread was deleted
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh 😆Anataka achukue account yako alafu akudai pesa ili kuirudisha
Take care
Watu wa hivi nawapendaga sanaHivi mtu usiyemfahamu na hata kama ungekuwa unamfahamu anakupaje data bure...!!??
Ila sisi Watanzania bado tupo nyuma sana kwenye huu wizi wa mitandaoni. Yaani jitu hulijui, bado unachat nalo?
Kumbuka bure ni ghali/gharama
Mmmm... Au unafurahia Kiingereza!
Hawa sio matapeli ni wanatafuta viewers mara nyingi wanapost biasharaNa wengine hawa hapa nina wasi wasi nao
Huyu ukishampa namba anafungua account ya TelegramHuyu nafikiri ni mtu wa pili ananitumia hivi. Nimemjibu Yes, lakini sija apply chochote.
Kuna ambaye kashakumbana nao hao?
View attachment 2668638
AiseeHuyu ukishampa namba anafungua account ya Telegram
Utatumiwa code za verification
Anakurudia anakwambia nipe hizo code
Ukimpa anakua na access ya acc yake (yenye namba yako) hio ndo anatumia kubondea watu
DuhHayo ni maBots unachat nayo kama binadamu ,ukikutana na lakike utafurahi.
😆😆🙌Watanzania msipende vya bure, mwishowe vina gharama kubwa.
Lipa Voda, tigo, Halotel n.k na maisha yaendeleee kama kawaida. Achana na vya bure, hata kama unataka kukimbia kodi za Mwigulu Nchembe.
Mkuu, na hii dizaini ya hawa watu ndio wale wale au??Umakin unahitajika ukiingia kwa miguu miwili unazamishwa mazima
AnhaaHawa sio matapeli ni wanatafuta viewers mara nyingi wanapost biashara
Country Code +234 ni Nigeria. Au kwa vile kaweka picha ya mzungu kwenye profile yake?Huyu nafikiri ni mtu wa pili ananitumia hivi. Nimemjibu Yes, lakini sija apply chochote.
Kuna ambaye kashakumbana nao hao?
View attachment 2668638