Huu ni utapeli au sio utapeli? Je, ushawahi kukumbana na hii hali?

Huu ni utapeli au sio utapeli? Je, ushawahi kukumbana na hii hali?

Kuna application zipo siku izi wanakuambia uweke hela baada ya siku zinazaa zaidi ya pesa yako ,hao nao ni matapeli tu naona ,huwezi kuweka laki moja uke uje upate laki mbili ,investment ya hivyo haipo na haijawahi kutokea
 
Back
Top Bottom