Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 6,053 Reaction score 10,032 Jun 26, 2023 Thread starter #21 Shimba ya Buyenze said: Country Code +234 ni Nigeria Click to expand... ππ Sababu milioni za kuogopaa
Shimba ya Buyenze said: Country Code +234 ni Nigeria Click to expand... ππ Sababu milioni za kuogopaa
A Anti-monitor JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 451 Reaction score 642 Jun 26, 2023 #22 Code ya nigeria hio
The email JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 678 Reaction score 1,311 Jun 26, 2023 #23 Kuna application zipo siku izi wanakuambia uweke hela baada ya siku zinazaa zaidi ya pesa yako ,hao nao ni matapeli tu naona ,huwezi kuweka laki moja uke uje upate laki mbili ,investment ya hivyo haipo na haijawahi kutokea
Kuna application zipo siku izi wanakuambia uweke hela baada ya siku zinazaa zaidi ya pesa yako ,hao nao ni matapeli tu naona ,huwezi kuweka laki moja uke uje upate laki mbili ,investment ya hivyo haipo na haijawahi kutokea