Huu ni utoto au utaahira?

Kaka unaua he he he he. Kwa kweli hata mimi kuna wadada hawajui naishi wapi. Na hii ni kwa sababu wengine ni ving'ang'anizi. Akipajua kwako tu anaibuka unannounced. Utasikia "bae I was in the neighborhood nikasema nipite nikusalimie" wakati unaishi Kigamboni huko. Hapana aise. Mwanamke ninayemleta kwangu ni yule niliye na malengo naye tu.
 
Kwani kidume kizaa na wewe ndo akupeleke home?wewe utabakia kuwa poozeo tu
 
Wanaume wa JF mbona hamnipendi wakati mimi ninamapenzi ya dhati na nyinyi? Mara mnisute kuwa niliaga lakini bado nipo. I love you guys.
 
Hua siwaonyeshi nyumbani, kwangu wala kuwatambulisha kwa marafiki au ndugu ili nikiwatia mimba wasijue pa kunikamata.
 
Reactions: SDG
Hua siwaonyeshi nyumbani, kwangu wala kuwatambulisha kwa marafiki au ndugu ili nikiwatia mimba wasijue pa kunikamata.
Inaelekea umedondosha sana DNA zako kitaa
 
Kwa kesi hii huyo mwanaume ni mjinga...ila nawe acha kusema habari za watu,... πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› nasubiri puvu
 
Kwa kesi hii huyo mwanaume ni mjinga...ila nawe acha kusema habari za watu,... πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› nasubiri puvu
Khe niseme habari za viatu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…