Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utuwache tunaogopa wake zetu kutucheka! Simpeleki ng'ooUmepata mapenzi kwa kuwa umejiwekea ka status mjini unaona aibu kumpeleka kwenu kutokana na hali halisi . Hii ni kukosa confidence ya maisha, utoto au ni utaahira?
So unaanza kujifananisha na watu wengine?!Hata wale wa corner bar hawaombwi hivyo mkuu
Asante sana mkuu kama ni wa kukuacha atakuacha tu hata kama unapesa ni kheri kuwa mkweliUnajua Sky ni hivi: wanaume wengi tumejengewa na dhana kuwa wanawake wengi wanapenda mwanaume mwenye pesa au mambo safi. Sasa ikitokea mwanaume amepata bahati ya kupata mwanamke mzuri na ukajiona hali ya familia ulikotoka ni duni na maisha mnayoishi ni ya kuganga tu ili mradi siku ziende inakuwa mtihani sana kumpeleka huyo mwanamke kwenu.
Hoja ni kuwa sio humpendi, no. Unampenda sana tena hata yeye anaweza jua hilo. Lakini tatizo linakuja mimi nalala kwenye chumba cha vumbi, kitanda cha chuma ..vile vya kipindi kilee nadhani we utakuwa unavikumbuka, halafu godoro nilinunua kwa mtu la bei poa: Hivi hata kama unanipenda si utanimwaga mamaangu au utavumilia kweli?
Lakini pia nasimamia hoja yako ni ya msingi sana, kama mtu umepata mwanamke hata akiwa mzuri kama malaika mwanaume usiogope kumuweka wazi uhalisia wa maisha yako; hii itasaidia sana mpenzi wako kushikamana nawe na hata kukupa mbinu za kujikwamua kimaisha.
Wengine home pacha tu Dada yangu Sky Eclat.Umepata mapenzi kwa kuwa umejiwekea ka status mjini unaona aibu kumpeleka kwenu kutokana na hali halisi . Hii ni kukosa confidence ya maisha, utoto au ni utaahira?
Kuna sister do mmoja aliishi Masaki, kule mama yake alikuwa maid wa mzungu na walipewa servant quarter. Mzungu aliens a likizo anamletea zawadi enzi zile za kufunga mikanda sisi wa Kwamtogole alituona wa chini sana. Akipewa lift anashuka gatin ingawa hakukaribisha mtu kwao hata siku moja. Sasa hakutaka mama yake ahudhurie graduation yake wakati yeye ni mtoto wa pekee. Imefika siku ya graduation uzuri kuna aliyeomba ruhusa kwa mzungu kazini kwa graduation ta shule ile ile ndiyo mama kupata habari na kwenda mdada kamkayshia mama yake wengine ni mataahira
Kama haujapenda stori ya mtu unapita. Kejeli za nini sasa .Huyu mwanamke kila siku anatuletea story za kusadikika afu anasema za mashosti zake, mwambie anayekugegeda aile papuch vyema hyo
Achana nao hao hawana jipya.Wanaume wa JF mbona hamnipendi wakati mimi ninamapenzi ya dhati na nyinyi? Mara mnisute kuwa niliaga lakini bado nipo. I love you guys.
Mungu wangu.......huyo msichana hana akili yani anamkataa mama ake.....nimeumia utafikiri ndo mimi nimefanyiwa ivoKuna sister do mmoja aliishi Masaki, kule mama yake alikuwa maid wa mzungu na walipewa servant quarter. Mzungu akienda a likizo anamletea zawadi enzi zile za kufunga mikanda sisi wa Kwamtogole alituona wa chini sana. Akipewa lift anashuka gatin ingawa hakukaribisha mtu kwao hata siku moja. Sasa hakutaka mama yake ahudhurie graduation yake wakati yeye ni mtoto wa pekee. Imefika siku ya graduation uzuri kuna aliyeomba ruhusa kwa mzungu kazini kwa graduation ta shule ile ile ndiyo mama kupata habari na kwenda mdada kamkayshia mama yake wengine ni mataahira