Huu ni utoto au utaahira?

Na wakati mama anasafisha vyoo vya mzungu kwaajili yake
Hivi watu kama hao uwa hawajui wazazi wanajisacrifice kwa kiasi gani ili wao wasome.......huyo dada ni kichaa na akumbuke hapa duniani hawezi kufanikiwa labda amuombe msamaha mama ake
 
Not always true,watu walishapelekwa hadi maofisini kwa watu,harusini, kwa marafiki nk...kama ipo ipo tuuu na kama haipo haipo tuu
 
A and B yote majibu kwa wakati tofauti tofauti
 
Disposable [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
kuna watu wa kuwapeleka home au kuwatambulisha kwa ndugu, ila tatizo ni wachache so hatukuru😛uki inahitaji kum assess huyo msichana vya kutosha ndipo akatambulishwe
 
Kama haujapenda stori ya mtu unapita. Kejeli za nini sasa .
Mtu kueleza ukweli ni tatizo, hujui kuna young generation humu inajifunza, fikiria mara mbili kabla hujajibu swali ili kufurahisha watu tu
 
Mtu kueleza ukweli ni tatizo, hujui kuna young generation humu inajifunza, fikiria mara mbili kabla hujajibu swali ili kufurahisha watu tu
Mimi na wewe nani anafurahisha watu.

Kama ulijua kakosea ungetumia lugha ya staha ili hiyo young generation ifaidike kwa busara zako
 
Mbona stori yako haina mtiririko unaoeleweka yaani kiufupi ni kama hujaeleweka ulikusudia kuandika nini.
 
Mimi na wewe nani anafurahisha watu.

Kama ulijua kakosea ungetumia lugha ya staha ili hiyo young generation ifaidike kwa busara zako
Katikati isikufanye usahau chanzo kiufupi hakuna anayefaidika na hichi it's better tukatoa jamvi uwandani maisha yaendelee
 
Mwanzo mbaya mwisho wake mbaya... Mwanzo mzuri mambo yote safi...

Ndiyo maana unaambiwa... " Never lie, you don't know what the future holds for you" be real stay true...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…