Huu ni utumwa! Hakuna kinacho unganika na Mungu hapa

Mwenyewe kaokota picha huko sijui ticktok kaleta huku....
Wala hajui kama ni mahabusu, pengine anatoa ushahidi/hatakiwi kufahamika, au anasababu maalum/binafsi...
Ni vizuri kufikiri nje ya boxi kabla ya kuleta vitu kwenye jukwaa
Lakini pia, kupoteza muda kujadili mavazi ya mtu ambayo hayajamuacha tupu, ni ukosefu wa maarifa!
 
UMetoa wpi muda kukomenti kama sio kihere here na kuwashwa jagina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…