Huu ni utumwa! Hakuna kinacho unganika na Mungu hapa

Huu ni utumwa! Hakuna kinacho unganika na Mungu hapa

Mwenyewe kaokota picha huko sijui ticktok kaleta huku....
Wala hajui kama ni mahabusu, pengine anatoa ushahidi/hatakiwi kufahamika, au anasababu maalum/binafsi...
Ni vizuri kufikiri nje ya boxi kabla ya kuleta vitu kwenye jukwaa
Lakini pia, kupoteza muda kujadili mavazi ya mtu ambayo hayajamuacha tupu, ni ukosefu wa maarifa!
Makafiri hawana akili hizo za kufikiria haki
 
Back
Top Bottom