Huu ni utumwa! Hakuna kinacho unganika na Mungu hapa

Familia mpaka leo kuanzia jina la babu ni from Saudia
Siwezi kusema yote hapa
Nina 2yrs toka ni escape huko
Ila cha moto nilikiona na bado nakiona ila hainisumbui nimechagua njia yangu
Hakika

Na waha jamaa kosa uwahame ndio utakoma Seran

Wako radhi wakuue ili hio aibu
iondoke.

WAmeamliwa kufanya hivyo

Sasa hio ni dini au pub?😁
 
Familia mpaka leo kuanzia jina la babu ni from Saudia
Siwezi kusema yote hapa
Nina 2yrs toka ni escape huko
Ila cha moto nilikiona na bado nakiona ila hainisumbui nimechagua njia yangu
Dah pole na hongera kuchagua kilicho sahihi kwako! Ni vizuri kutambua unataka nini kuliko kufuata mkumbo tu!
 
Siwezi hata kwa bahati mbaya!🙌🏾
Basi achana na hao jamaa.

Ni watu waovu sana

We angalia tu juzi hapa vijana walovyodunguliwa ila wao wakawa upande wa wadunguaji kisa tu dini zinafanana.

Ni watu hatari sanaa, ndio maana US anawakanda kila siku
 
Hakika

Na waha jamaa kosa uwahame ndio utakoma Seran

Wako radhi wakuue ili hio aibu
iondoke.

WAmeamliwa kufanya hivyo

Sasa hio ni dini au pub?😁
Waniue tena??🫢

Mbona wanaenda mbali sana!

Kwani nikiachana nao nawatia hasara gani?
 
Hakika

Na waha jamaa kosa uwahame ndio utakoma Seran

Wako radhi wakuue ili hio aibu
iondoke.

WAmeamliwa kufanya hivyo

Sasa hio ni dini au pub?😁
Hawajaniua ila wamenipa maumivu nakili hilo
Kuna dada angu mmja aliniuliza S ume ritadi nikajibu ndio ile nataka kumuelezea alinilima block hapo hapo
 
Basi achana na hao jamaa.

Ni watu waovu sana

We angalia tu juzi hapa vijana walovyodunguliwa ila wao wakawa upande wa wadunguaji kisa tu dini zinafanana.

Ni watu hatari sanaa, ndio maana US anawakanda kila siku
View attachment 3592533
Duhh kwahiyo haijalishi nini kimetokea hata kama ni kibaya wao wana propose tu kisa ni kufuata mfanano wa dini? Mbona hatari sana! Aisee nimewaogopa😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…