Harmonize wa Jf
Member
- Jan 6, 2022
- 56
- 336
Narudia tena Israel anaenda kupigwa vibaya mno na Wana Lebanon Hezbollah.
Kwa kilichowahi kutoka 2006 ambako Israel alipigwa na Hezbollah Hadi akakimbia ndio naona hii inatokea tena,
Hezbollah hawa watu ni hatari
sana.
Hadi Marekani amemwambia Israel asiingie vitan na Hezbollah Kwa sababu Hezbollah anao uwezo wa kuipiga vibaya mno Israel.
Hez ana silaha nzito nzito mno ana missiles ana aircraft pia ana drones za shaad ambazo anapewa na iran.
Hezbollah anao wanajeshi kabisa waliofundishwa vizuri mno.
Pia Wana teknolojia Kubwa kama waliweza kupeleka drones Israel Ili irekodi maeneo yote muhimu kama kambi za kijeshi na bandariq bila Israel kujua hawa watu ni nomaa.
Niwe mkweli nauona mwisho wa Israel akijaribu kungia front war na Hezbollah anapigwa vibaya mno.
Namshauri bwana kipaka ni Bora asiingie bitani na Hezbollah Kwa maslahi ya taifa lake.
Nipo hapa kushuudia Israel alipigwa.
Na leo tayari wameanza kupigana Huko.
Natoa wiki2 tu Israel atachakaa.