Huu ni wakati Hezbollah anaipiga Israel vibaya mno

Nilikuwa nje ya mipaka ya tz dear sasa nmerud
Utaniona sana hapa jukwaani
Nlimuona Arushaone nkafurah sana nikakumbuka party ya Arusha Wing na dar Wing kipindi hicho
Oooh! Karibu tena. Them good old days!
 
Another Gaza is coming. Hatar iliyo kubwa ni kuwa Lebanon hali ya uchumi ni mbaya mno mno
 
Narudia tena Israel anaenda kupigwa vibaya mno na Wana Lebanon Hezbollah.

Kwa kilichowahi kutoka 2006 ambako Israel alipigwa na Hezbollah Hadi akakimbia ndio naona hii inatokea tena,
Hezbollah hawa watu ni hatari
sana.

Hadi Marekani amemwambia Israel asiingie vitan na Hezbollah Kwa sababu Hezbollah anao uwezo wa kuipiga vibaya mno Israel.

Hez ana silaha nzito nzito mno ana missiles ana aircraft pia ana drones za shaad ambazo anapewa na iran.

Hezbollah anao wanajeshi kabisa waliofundishwa vizuri mno.

Pia Wana teknolojia Kubwa kama waliweza kupeleka drones Israel Ili irekodi maeneo yote muhimu kama kambi za kijeshi na bandariq bila Israel kujua hawa watu ni nomaa.

Niwe mkweli nauona mwisho wa Israel akijaribu kungia front war na Hezbollah anapigwa vibaya mno.

Namshauri bwana kipaka ni Bora asiingie bitani na Hezbollah Kwa maslahi ya taifa lake.

Nipo hapa kushuudia Israel alipigwa.

Na leo tayari wameanza kupigana Huko.

Natoa wiki2 tu Israel atachakaa.
Sawa ila wakiamza mambo yao ya sijui wanapigania alah watapigwa, wao waweke ajenda za vita zinazoeleweka tutawaunga mkono
 
Narudia tena Israel anaenda kupigwa vibaya mno na Wana Lebanon Hezbollah.

Kwa kilichowahi kutoka 2006 ambako Israel alipigwa na Hezbollah Hadi akakimbia ndio naona hii inatokea tena,
Hezbollah hawa watu ni hatari
sana.

Hadi Marekani amemwambia Israel asiingie vitan na Hezbollah Kwa sababu Hezbollah anao uwezo wa kuipiga vibaya mno Israel.

Hez ana silaha nzito nzito mno ana missiles ana aircraft pia ana drones za shaad ambazo anapewa na iran.

Hezbollah anao wanajeshi kabisa waliofundishwa vizuri mno.

Pia Wana teknolojia Kubwa kama waliweza kupeleka drones Israel Ili irekodi maeneo yote muhimu kama kambi za kijeshi na bandariq bila Israel kujua hawa watu ni nomaa.

Niwe mkweli nauona mwisho wa Israel akijaribu kungia front war na Hezbollah anapigwa vibaya mno.

Namshauri bwana kipaka ni Bora asiingie bitani na Hezbollah Kwa maslahi ya taifa lake.

Nipo hapa kushuudia Israel alipigwa.

Na leo tayari wameanza kupigana Huko.

Natoa wiki2 tu Israel atachakaa.
Waje momoja mmoja wavuliwe chupi wasokomezwe jiti lenye maji ya uzima wa milele
 
Unaionea Huruma ? Fanatic anajiandaa kuandamana kuilaani Israel kuua Walebanese

Israel haijawahi pigwa na Muslim Country Zaidi huwa ikitoa onyo inawaonea huruma na kuwasamehe kama mkitulia... Israel ikiichwa ibafukuza arabs wote nearby

Hata Mandonga anauwezo wa kupigana issue unajua? kabla ya vita Hezbollah 500 washadedishwa na huyu wa usiku huu ni wa 501

Sawa wajibu tena kuua raia.. watapewa zawadi from watu wa Allah Bani Israel

Wana mabomu mazito au ndio huto turockets? Uturuki wenu kaambiwa ataguezwa Sadam Hussein na ana kila kitu kushinda Israel ila mabomu mazito atayajua yakitua uturuki

Vichekesho kama hivi viapatikana Msikiti TV

Kama mlivyotoa Gaza na Kwa Houthi pia wasalimie Yemen
Umejibu vizuri mashallah
 
Narudia tena Israel anaenda kupigwa vibaya mno na Wana Lebanon Hezbollah.

Kwa kilichowahi kutoka 2006 ambako Israel alipigwa na Hezbollah Hadi akakimbia ndio naona hii inatokea tena,
Hezbollah hawa watu ni hatari
sana.

Hadi Marekani amemwambia Israel asiingie vitan na Hezbollah Kwa sababu Hezbollah anao uwezo wa kuipiga vibaya mno Israel.

Hez ana silaha nzito nzito mno ana missiles ana aircraft pia ana drones za shaad ambazo anapewa na iran.

Hezbollah anao wanajeshi kabisa waliofundishwa vizuri mno.

Pia Wana teknolojia Kubwa kama waliweza kupeleka drones Israel Ili irekodi maeneo yote muhimu kama kambi za kijeshi na bandariq bila Israel kujua hawa watu ni nomaa.

Niwe mkweli nauona mwisho wa Israel akijaribu kungia front war na Hezbollah anapigwa vibaya mno.

Namshauri bwana kipaka ni Bora asiingie bitani na Hezbollah Kwa maslahi ya taifa lake.

Nipo hapa kushuudia Israel alipigwa.

Na leo tayari wameanza kupigana Huko.

Natoa wiki2 tu Israel atachakaa.
Mbona maelezo ni mengi mno? Wameuliwa kiongozi wao na kushambuliwa maeneo yao. Si walianzishe Sasa? Wanasubiri nini?
 
Muslim hamna akili yaani mkiona mtu anaunga mkono mambo yenu mnampa air time Hamas pia walikuwa wanashangiliwa na Mashoga kwenye maandamano.. mkafurahi sana... Ndio maana mna hadithi nyingi za kijinga kisa tu mnasifiwa haijalishi na nani?

Sasa huyu kaongea utumbo na uharo umemuweka front seat kabisa hata msikitini ataalikwa na kwenye baraza la Iddi anapangwa mbele kabisa... Satan ni Satan tu..

Islam mmetaka vita mmevipata... for free chimbeni tu makaburi Allah kawaandalia Mademu wengi sana Jannah Firdaus
 
Back
Top Bottom