Huu ni wakati muafaka wa kukifuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Kamalize mbano ulale
 
Nimetafuta kanuni au Sheria ilivyovunjwa ikiwa kama nukuu kwenye andiko lako pasi na mafanikio
Leta kiambatanisho cha kibali cha polisi kilicho ruhusu maandamano
 
Mmmh hapo jamaa ndo katua tu, hajaanza kutoa cheche. Watu washaanza panic
 
Msajili angelikuwa na akili Kama yako bila shaka ili taifa lingekuwa kama Sudan au Somalia
 
 

Attachments

  • Ndani ya uwanja muda huu ( 422 X 750 ).mp4
    2.8 MB
Matokeo tumesha yajua hakuna wakumkaribia JPM hapa nazungumzia suala la amani ya nchi, hawa nyumbu hawafuati taratibu wasiachwe waendelee

Acha wapige kelele nchi mbona ya amani sana hii, mbona simba na Yanga watu walienda uwanjani zaidi ya elf 30, sembuse wa kumpokea ata elf 1 hawafiki

Acha wampokee mtu alie taka kufa yupo nje ya mchi miaka 3 dah, angekuwa ndugu yako ungeenda lazima
 

Alafu ww unapata faida gani?
Mbona nyie mlikusanyika pale ubungo kumuona mwenyekiti wenu?
 
Tena chadema kimekua chama kinachozingatia utawala wa sheria muda wote
 
Hoja gani mkuu? Nimezungumzia sheria za nchi, hawa wamevunja sheria wanapaswa kufutwa
Utatumia kemikali gani kukifuta? Hii ni kwa sababu kimeandikwa kwenye mioyo ya Wazalendo wa nchi hii. Hiyo kemikali itakayoingia kule mioyoni siioni mie!!!!
 
Walipaswa kuwa na kibali, vipi endapo yangetokea maafa huoni kuwa serikali ingelaumiwa kwa uzembe wakati haina taarifa ya maandamano?
Wewe kwenda stand na wanao kumpokea mumeo huwa unaomba kibali cha polisi? Bado hujajifungua tu bibie? Sio kwa hasira hizo
 
Nimetafuta kanuni au Sheria ilivyovunjwa ikiwa kama nukuu kwenye andiko lako pasi na mafanikio

Umemuelewesha vizuri. Nadhani kinachomsukuma kusema chadema ifutwe ni emotions!! Mahakamani chadema anaweza kutaka ushahidi kuwa mikutano ya CCM ina vibali vya polisi!!

Namshangaa kila siku anasema Chadema ni saccos lakini anataka msajili wa vyama ndio akifite. Sasa aishauri Brela ndio ikifute. Mie si mwanachadema lakini naudhiwa na double standards, spinning, grandstanding za hawa jamaa.
 


Hivi unafikiri hawataki kukifuta!!! waandanamaji ni watu unafikiri wataenda wapi? Wataanza kupenda serikali!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…