Huu ni wakati muafaka wa kukifuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Pimba..f
 
Pumbafu na ulozi wako
 
Walipaswa kuwa na kibali, vipi endapo yangetokea maafa huoni kuwa serikali ingelaumiwa kwa uzembe wakati haina taarifa ya maandamano?
Kwani Kuna maandamano yaliyofanyikana?

Jee haya tuseme ni maandano na tuoneshe kibali chΓ‘ mapokezi yake huko pemba mtoto WA mwinyi.
 

AIASA CCM AKISTAAFU β€œ ACHENI KUTEGEMEA DOLA β€œ jakaya kikwete
 

Hii hasira ni kwasababu ulilewesha propaganda mfu kuwa cdm imekufa. Ulichokiona leo kimeumiza sana moyo wako. Cdm haitaleta machafuko, bali watakaopora matokeo halali ya cdm ndio wataleta machafuko.
 
Pemba polisi hawakuonya chochote ikiashiria walifuata utaratibu maana CCM ni watu wa utaratibu
Hamna jambo hata moja mnaloweza kulitetea kwa hoja.

Utaratibu gani unaoutaka wewe.

Kuchangia damu kwa ajili yake mlipiga marufuku, ubunge mkamvua, stahiki zake mkamnyang'anya na bado mlishindwa kumuondolea nguvu leo kaja mnatoa visababu kama vya wanawake malaya. Aibu yenu lumumba. Mungu ni wa wote aliyepanga njama za kutaka muuwa na yeye atakufa na wewe unaesherehekea kufanyiwa unyama ule utakufa na malipo yako na yakila mmoja atayaona mbele ya Mungu. Wacheni uuaji na kuumiza watu kisa mna policcm. Hawo silolote si chochote.

Mfano lingetokea lΓ‘ kutokea hawo policcm mnaowategemea kwa uma ti ule wangelibakia kwa sababu wana silaha?
 
Watu wenye stress mnachekesha sana, wewe unamfahamu aliyemtengua kiuno Lissu au unaropoka tu? Mwambieni Lissu kimlacho ki nguoni mwake. Mwambieni urais atausikia kwenye bomba tu pia mwambieni hata CHADEMA watamkata.
 

Mbona umekata tamaa mapema?
 
Watu wenye stress mnachekesha sana, wewe unamfahamu aliyemtengua kiuno Lissu au unaropoka tu? Mwambieni Lissu kimlacho ki nguoni mwake. Mwambieni urais atausikia kwenye bomba tu pia mwambieni hata CHADEMA watamkata.
Usihofu ndugu.
 
Hii hasira ni kwasababu ulilewesha propaganda mfu kuwa cdm imekufa. Ulichokiona leo kimeumiza sana moyo wako. Cdm haitaleta machafuko, bali watakaopora matokeo halali ya cdm ndio wataleta machafuko.
CHADEMA ilikufa tangu siku ilipo anzishwa, kilichobaki ni SACCOS ya mchagga mwenzetu, na utaona jinsi huyo mtetezi wenu wa ushoga aka Lissu atakavyokatwa wiki chache zijazo
 
Angalia usijidhuru mkuu hizi ndio siasa kama haki ikitendeka October tutakuwa na rais mpya.
 
Lumumba mnateseka sana na ujio wa Lissu 😁😁😁😁😁😁
 
Sishangai siku hizi hakuna tena vijana wenye roho mbaya bari vijana wachawi wapo ndo nyie
 
Kuna nini umekikosa leo kwawao kuandamana??? Kama hakuna kilichokiuuma n nini?? Hujala??

Kalale......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…