Huu ni wakati muafaka wa kukifuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Lissu kuja ndo mnaanza kusema wafute sacos ya mtu binafisi mbona mwamba unateseka bure.

Acha wanasiasa wapige kelele wote mwez wa 10 sanduku litajua nani kidume, Lissu, Membe au JPM
Sanduku lipi? Tume ya Uchaguzi iliyopo haina uwezo wala nia ya kutayarisha uchaguzi huru na wa haki. Ni uporaji tu kama wa serikali za mitaa. Atapatikana Rais lakini si kupitia kura za wananchi.
 
Walipaswa kuwa na kibali, vipi endapo yangetokea maafa huoni kuwa serikali ingelaumiwa kwa uzembe wakati haina taarifa ya maandamano?
Wacha kukariri. Siyo kila mkusanyiko ni maandamano. Hiyo ni tafsiri potofu ya jeshi la polisi.
 
Sanduku lipi? Tume ya Uchaguzi iliyopo haina uwezo wala nia ya kutayarisha uchaguzi huru na wa haki. Ni uporaji tu kama wa serikali za mitaa. Atapatikana Rais lakini si kupitia kura za wananchi.

Kipindi unadai tume huru hakikisha wapiga kelele wote wa mitandaoni wanaenda kupiga kura mwezi wa 10,
Maana wajumbe wana juhudi sana kupiga kura wale ni vitendo tuu
 
leo mataga presh zipo juu juu tu na ma bots yao lumumba[emoji28][emoji28][emoji28] ni hivi [emoji1308][emoji1308]
 
Walipaswa kuwa na kibali, vipi endapo yangetokea maafa huoni kuwa serikali ingelaumiwa kwa uzembe wakati haina taarifa ya maandamano?
akili huna wewe akili zako ni kiwango cha changarawe sio lami yaani
 
Walipaswa kuwa na kibali, vipi endapo yangetokea maafa huoni kuwa serikali ingelaumiwa kwa uzembe wakati haina taarifa ya maandamano?
Siyo kibali.. ni taarifa tuu. Na taarifa policcm tayari wanayo
 
Niki kukamata nitakukata makende
 
Huu ni wakati muafaka wewe kufutwa kwenye uso wa dunia huna faida yoyote unzidisha idadi ya wajinga nchini
 
Hivi chadema wamelikata jina la Lissu?
Watu wenye stress mnachekesha sana, wewe unamfahamu aliyemtengua kiuno Lissu au unaropoka tu? Mwambieni Lissu kimlacho ki nguoni mwake. Mwambieni urais atausikia kwenye bomba tu pia mwambieni hata CHADEMA watamkata.
 
Nahisi majibu umeshayapata baada ya chadema kumkataa hiyo jana.

Kwanini mnakataa uchunguzi huru ili tuwaumbue hawo unaowaza?
 
"Sikiliza wewe, sisi ndio wataalamu"
 
Hoja ijibiwe kwa hoja sio kwa rungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…