Huu ni wakati wa kukubali lugha za Taifa ni mbili, Kiswahili na Kiingereza

Huu ni wakati wa kukubali lugha za Taifa ni mbili, Kiswahili na Kiingereza

Official languages Tz ni Kiingereza na Kiswahili.
 
Lugha zote ni tamu, kinachoharibu ni sauti. Nikisema 'Sauti' namaanisha mpagilio wa maneno yanavyounganishwa na utamshi unavyotoka kinywani mwa mtu.

Utamshi wa irabu na baadhi ya herufi kimakosa.
Ukosefu wa pumzi au kuwa na wasiwasi humfanya mtu aongee vibaya.
 
Back
Top Bottom