Huu ni wakati wa Lissu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Ilikuwepo Manchester united
Ilikuwepo Barcelona
Ilikuwepo Brazil
Hizi ktk soka zikivuma lkn hivi sasa hazivumi tena.

Kisiasa
Huu ndio wakati wa Lissu kufifia kabisa ktk siasa. Baada yauchaguzi kwisha na Lissu kushindwa vibaya ndio mwisho wa siasa zake za umachachari.

Hakuna jukwaa la kisiasa litaloweza kulitumia angakangara.

Ukiondoa CHADEMA, Lissu hata tena uwanja unaomfaa yeye , labda maria space iloobaki
 
Je wajua LISSU anawafuasi wake tu yaan wao ni wanamsikiliza tu na wako naye popote??.

Nakuambia kama àlivyoshinda Mwabukusi ndivo anashinda LISSU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…