Huu ni zaidi ya urembo

Huu ni zaidi ya urembo

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Kweli baadhi ya wanawake mna tabu,sasa mkorogo gani huu unakuwa kama jini?

Wadau naomba mnisaidie kuhusu huyu mwanamke aliyevaa skin nyekundu, Kapendeza?
attachment.php

Huyo kulia ni mke wa mkubwa Fella (TMK wanaume)
 
Attachments

  • MkewaMkubwaSaidFelakulia.jpg
    MkewaMkubwaSaidFelakulia.jpg
    92.7 KB · Views: 2,174
Mmnnnhh!! Katika vitu vilinikalia kushoto!!
 
Kama yy na mumewe wanaamini kapendeza who are we to judge
 
mrsleo ila sasa ukitoka huko kwako na wewe jiangalie basi usifanane na zombie na useme umependeza bana
 
Last edited by a moderator:
mrsleo ila sasa ukitoka huko kwako na wewe jiangalie basi usifanane na zombie na useme umependeza bana

Dnt get me wrong sijasema amependeza ukwel namuona kituko ila sasa yy na mr. Wake wameukubali huo uzombi inabd tukubali tu kwamba kapendeza
 
Last edited by a moderator:
Dnt get me wrong sijasema amependeza ukwel namuona kituko ila sasa yy na mr. Wake wameukubali huo uzombi inabd tukubali tu kwamba kapendeza

mrsleo nimekupata kabisa mi nilikuwa nakuongezea hapo hapo kwako kwamba hata kama umesifiwa umependeza jiangalie wewe mwenyewe kwanza uone kweli unaloambiwa akili za kuambiwa changanya na za kwako maana hapo ni kama zombie
 
Last edited by a moderator:
Kwani aliambiwa akijipaka hayo atapewa sh ngapi?
 
Nipo mkuu Excel unaendeleaje kaka
Hope uko salama kwa sasa aise
Mambo yanasemaje
Umeona pepsi, mirinda, coke na fanta orange hapo juu

mkuu naendelea vizuri kabisa, namshukuru MOLA kwa heri hizi..

actually nimeona uso ulivyokobolewa! ila sidhani kama ndani kuko salama!!? hahahaaaaa!!

nimedadisi tu mkuu!
 
mkuu naendelea vizuri kabisa, namshukuru MOLA kwa heri hizi..

actually nimeona uso ulivyokobolewa! ila sidhani kama ndani kuko salama!!? hahahaaaaa!!

nimedadisi tu mkuu!

Usiudadisi sana ishia hapo hapo mkuu Excel
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom