Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Hivi kiongozi mmoja wa ACT Wazalendo anapotoka dharani na kusema kuwa kitendo alichokifanya Lissu cha kukutana na Rais Samia rti wao ndio walishauri hivyo, hivi huyu mtu anaelewa nini kama siyo ushamba na kujikweza?
Hawa watu hawaelewi kuwa CHADEMA wameanza kusaka suluhu ya maridhiano toka JPM aapishwe kua Rais? Baada ya Rais Samia kuapishwa tu CHADEMA si ndicho kilikuwa chama cha kwanza kumwandikia barua kuomba kukutana naye na akaijibu kupitia kwa msaidizi wake? Mhe Zitto kuna jipya gani hapo kama siyo kujikweza tu? Lissu si ndiyo ametekeleza ambayo chama chake kilihitaji muda mrefu?
Kwa bahati mbaya sana pia kuna wanaccm ambao walikuwa wakipumua kupitia mgogoro wa kisiasa kati ya Serikali na CHADEMA, wanajuwa kabisa ukipatikana mwafaka kwa hawa viongozi wao ulaji wao utapotea. Hivyo wanaumizwa sana na mazungumzo yao. Ndio hawa hawa waliomdanganya Rais kuwa Tundu Lisu alishalipwa stahiki zake zote za matibabu na kibunge, ndio hawa hawa waliomdanganya Mhe Rais kuwa kuna watu walituhumiwa kwenye kesi ya Mbowe. Ni kundi la watu hatari sana hili Rais awe makini nalo.
waliomdanganya Mhe Rais k7