abdallah mwinyi mbona sio mbunge. alikuaga mbunge wa afrika mashariki lakini kwa sasa sio mbunge
Abdallah Mwinyi mbona sio mbunge. alikuaga mbunge wa afrika mashariki lakini kwa sasa sio mbunge
Zimefanya nini?Na familia ya Ndesamburo, Lissu na Faru John??
Soma uelewe ...ndio Ushiriki mjadala!abdallah mwinyi mbona sio mbunge. alikuaga mbunge wa afrika mashariki lakini kwa sasa sio mbunge
Hahah i couldn't agree more mkuu.Umwinyi....
Usultani....
Wakimaliza hapo, wanapeana nafasi za uteuzi! Wakurugenzi n.k.
Vijana wanaambiwa wakajiajiri!
Everyday is Saturday..........................😎
Dingi yao hakua na hela/fisadi sasa watawa shawishi vipi wajumbe mkuu?Kwa nini familia ya Nyerere inatoswa sana na wajumbe wa Ccm na kwa nini familia ya Mwinyi imebebwa sana huko zanzibari na WAJUMBE?
NOTE;MODE USIFUTE UZI HUU.
Kuna mtoto wa Pinda,Mke wa MalecelaFRED lowassa
Salma Kikwete
Ridhiwani Kikwete
.....
.....
CCM INA WENYEWE. WENYEWE NDIO HAO. sisi kazi yetu ni kusema MITANO ZAIDI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waendelee kula mema ya nchi
Saana tuKwa hiyo ni kawaida?
Lissu alikua bungeni na dada yake Christina lissu lakini ameyasahau,naona hoja zimeanza kumuishia.Mleta hii maada Lissu pamoja kelele zote hajui cdm ni chama ambacho muasisi ni Baba Mkwe wa mkt. Na akae akijua mwaka 2025 ya wezekana mgombea urais akawa mtoto wa mkt ambaye kesha anza mazoezi ya kisiasa kwa kutangaza nia ubunge moshi mjini
Kwa nini lakini..?kwanini watoto wa Baba wa Taifa hakuna hata mmoja mliyempitisha?