Zanzibar 2020 Huu sasa ni ufalme; haiwezekani watoto na familia ya Mwinyi iteuliwe kugombea kuanzia Urais hadi Ubunge

Acheni husuda! Kwani kama wako vizuri wasichaguliwe?

Nao wana haki pia kama watu wengine!

Sifa walizokuwa nazo zinawabeba!
 
Salma ana tamaa hadi inakera
 
Kwa kweli ni kama mzaha kwa immediate former first lady kuhangaika na ubunge. Ni kuzibia wengine riziki tu
 
Nimetafuta jinsi ya ku like mara 100 comment yako nimeshindwa. Anyway wapiga Kura pindueni meza ili Salma akamtunze Mr JK
 
Kwa nini familia ya Nyerere inatoswa sana na wajumbe wa Ccm na kwa nini familia ya Mwinyi imebebwa sana huko zanzibari na WAJUMBE?

NOTE;MODE USIFUTE UZI HUU.
Hao wa Nyerere wamegombea wakatoswa?
 
Ni haki yao kama wana uwezo,kuwazuia ni kuwaonea .Kama wananchi hawataki watawakataa.Mwenzenu amelea watoto wake vizuri na hayo ndiyo matunda yake.Mngefurahi kusikia wote ni walevi na wavuta bangi? Hapo mngeanza tena kumsema mzee wa watu kama alishindwa kuwalea pamoja na nafasi ya urais aliyokuwa nayo
 
Kama haya yanatokea, basi ni nchi inayoelekea kufa. Hapa bara:
Kuna mtoto wa Pinda
Kuna mtoto wa Lowasa
Kuna mtoto wa Kikwete
Kuna mtoto wa ....

Wapo wengi na wamepitishwa na anayeitwa mzalendo wa nchi hii!
Vile vile kuna mtoto wa Mama Samia Suluhu anaitwa Wanou Hafidh Ameir mgombea ubunge viti maalum Mkoa wa kusini Unguja
 
80 %.....

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kama wanaweza, na wanachi wataelewa sera zao kuna shida gani? Kikubwa wasibebwe na mbeleko, wapite kwa fair competition.
Hapo ndipo umebugi? Jina lao tuu linawabeba. Huu ni uroho tuu wa madaraka na kutarajia jina lao kupanda ngazi.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mbali ya ukoo wa Mwinyi kuna watoto wengi wa baba na babu zao waliokuwa ktk Baraza la Mapinduzi la Mwanzo Zanzibar 1964 , sasa wameshika nafasi za kisiasa, serikalini na ktk taasisi za umma katika CCM hii ya Zanzibar.
 
Mtoa UZI nakushauri mwachie M/Mungu yeye ndio mpanga wa yote kama amekuumba kiokote bac pambana tu izo riziki za wenzako hawuzi kuzilalia mlango waziii utajichumia dhambi bure
 
Saana tu
Uk kulikua na David milliband na Eddie Milliband,mmoja waziri wa Mambo ya nje,mwingine kiongozi wa wabunge
Us kulikua na Jeb na George Bush,bill na Hillary Clinton ndio demokrasia ukiona unapata kiungulia usiwape kura tu utapona fasta
Usilinganishe demokrasia za hao na huku, huku ni nguvu ya hela ndiyo inakupa cheo
 
#Ufalme au?

Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar

Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni

Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda

Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Siasa za TZ zimebakwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…