Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salma ana tamaa hadi inakeraKila mtu ana haki kikatiba, ila mama Kikwete na Mwinyi walichofanya sio sahihi. Mama salma kikwete angeachia hata ukoo mwingine nao ule national cake ya ubunge huko kwao kusini, maana yeye na mumewe wana asilimia 70 ya mshahara wa urais mpaka kufa kwao.
Kwa kweli ni kama mzaha kwa immediate former first lady kuhangaika na ubunge. Ni kuzibia wengine riziki tuKila mtu ana haki kikatiba, ila mama Kikwete na Mwinyi walichofanya sio sahihi. Mama salma kikwete angeachia hata ukoo mwingine nao ule national cake ya ubunge huko kwao kusini, maana yeye na mumewe wana asilimia 70 ya mshahara wa urais mpaka kufa kwao.
Kwa ccm kunaweza kuwa na fair play??!Kama wanaweza, na wanachi wataelewa sera zao kuna shida gani? Kikubwa wasibebwe na mbeleko, wapite kwa fair competition.
Labda Kama ingekuwa kupitia chama kingineKama wanaweza, na wanachi wataelewa sera zao kuna shida gani? Kikubwa wasibebwe na mbeleko, wapite kwa fair competition.
Haya bana corona imepungua[emoji1914]Zitto
Alhaj Bulembo
Halima
Nimetafuta jinsi ya ku like mara 100 comment yako nimeshindwa. Anyway wapiga Kura pindueni meza ili Salma akamtunze Mr JKHili la Salma Kikwete ni dhahiri mumewe hana power nyumbani kwao juu ya maamuzi ya Huyu mama!
It is beyond belief that she could decide to go and contest a parliamentary seat instead of taking care of an ailing retired politician!! Kama ukwasi Vasco Dagama amejilimbikizia wa kutosha!
Hao wa Nyerere wamegombea wakatoswa?Kwa nini familia ya Nyerere inatoswa sana na wajumbe wa Ccm na kwa nini familia ya Mwinyi imebebwa sana huko zanzibari na WAJUMBE?
NOTE;MODE USIFUTE UZI HUU.
YesHao wa Nyerere wamegombea wakatoswa?
Vile vile kuna mtoto wa Mama Samia Suluhu anaitwa Wanou Hafidh Ameir mgombea ubunge viti maalum Mkoa wa kusini UngujaKama haya yanatokea, basi ni nchi inayoelekea kufa. Hapa bara:
Kuna mtoto wa Pinda
Kuna mtoto wa Lowasa
Kuna mtoto wa Kikwete
Kuna mtoto wa ....
Wapo wengi na wamepitishwa na anayeitwa mzalendo wa nchi hii!
80 %.....Kila mtu ana haki kikatiba, ila mama Kikwete na Mwinyi walichofanya sio sahihi. Mama salma kikwete angeachia hata ukoo mwingine nao ule national cake ya ubunge huko kwao kusini, maana yeye na mumewe wana asilimia 70 ya mshahara wa urais mpaka kufa kwao.
Hapo ndipo umebugi? Jina lao tuu linawabeba. Huu ni uroho tuu wa madaraka na kutarajia jina lao kupanda ngazi.Kama wanaweza, na wanachi wataelewa sera zao kuna shida gani? Kikubwa wasibebwe na mbeleko, wapite kwa fair competition.
Usilinganishe demokrasia za hao na huku, huku ni nguvu ya hela ndiyo inakupa cheoSaana tu
Uk kulikua na David milliband na Eddie Milliband,mmoja waziri wa Mambo ya nje,mwingine kiongozi wa wabunge
Us kulikua na Jeb na George Bush,bill na Hillary Clinton ndio demokrasia ukiona unapata kiungulia usiwape kura tu utapona fasta
Siasa za TZ zimebakwa.#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini