Tunapinga kwanguvu huu mfumo wa viongozi kuanza kurithishana madaraka .tunajenga Tabaka la watawala na watawaliwa.Hahaha Chadema kina wagombea, ACT inawagombea, wasiwasi wenu nini hao wakigombea?!
Siasa haina mwenyewe kuna wakati ni bahati, kama hamuwataki ni vizuri mkajadili watu mbadala wa vyama vingine.
Mnafahamu ccm ina wenyewe na wenyewe ndio hao.
Simamieni vyama vyenu yakwao waachieni, hiyo ndiyo demokrasia, muwakatae kwa kura.
Vyama visiposimamisha wagombea wazuri, hao msiowataka watashinda kweli.
Sasa unadhani hao waingereza na wamarekani wanabebwa kindugu kama hawa wakwenu? Wale wana credibility .lakini huku inaangaliwa jina la mwisho la kiongozi kikwete,mwinyi,pinda, lowassa, malecela n.k huku ni kujenga tabaka la watawala na watawaliwa.Saana tu
Uk kulikua na David milliband na Eddie Milliband,mmoja waziri wa Mambo ya nje,mwingine kiongozi wa wabunge
Us kulikua na Jeb na George Bush,bill na Hillary Clinton ndio demokrasia ukiona unapata kiungulia usiwape kura tu utapona fasta
Hahaha wameshajua wazanzibari ni mazwazwa, Hussein, Abdallah, Abbas Mwinyi wote wanataka walipwe pesa za bure.Tunapinga kwanguvu huu mfumo wa viongozi kuanza kurithishana madaraka .tunajenga Tabaka la watawala na watawaliwa.
Very disorganised brain! Hoja hoja gani uliyoiona? Unajua maana ya hoja?Unaonekana una stress ,hapa najaribu kupangua hoja ya usultani kwa mifano,kwa hiyo usultani uk ni halali kisa tu waziri akiendesha baiskeli anajiuzulu?
Ni ishara ya familia yenye mapungufu kichwani. Yaani familia haiwasiliani ktk mambo makubwa kama haya? Iko siku watakutana na kuanza kulawitiana!#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Wewe ni bwege na uwezo wako wa kufikiri ni wa kiwango cha vumbi tu.Tangu lini Punda akatawala pori,,,wewe ni mtoto wa mchimba chumvi kazi bora na ilikukuza ni kuchimba chumvi..mbona sijawahi kukusikia au kuona andiko lako manabii ni Wayahudi na Warabu tu.mtoto wa mwanasiasa lzm awe mwanasiasa na wewe mtoto wa undertaker lazima uwe mcheza mieleka..ni " kanuni mzee" wala usiumize kichwa.Umwinyi....
Usultani....
Wakimaliza hapo, wanapeana nafasi za uteuzi! Wakurugenzi n.k.
Vijana wanaambiwa wakajiajiri!
Everyday is Saturday..........................😎
Mungu aingilie kati abadirishe hii kitu!FRED lowassa
Salma Kikwete
Ridhiwani Kikwete
.....
.....
CCM INA WENYEWE. WENYEWE NDIO HAO. sisi kazi yetu ni kusema MITANO ZAIDI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waendelee kula mema ya nchi
Wewe wanena....MWINYI MKUUWewe ni bwege na uwezo wako wa kufikiri ni wa kiwango cha vumbi tu.Tangu lini Punda akatawala pori,,,wewe ni mtoto wa mchimba chumvi kazi bora na ilikukuza ni kuchimba chumvi..mbona sijawahi kukusikia au kuona andiko lako manabii ni Wayahudi na Warabu tu.mtoto wa mwanasiasa lzm awe mwanasiasa na wewe mtoto wa undertaker lazima uwe mcheza mieleka..ni " kanuni mzee" wala usiumize kichwa.
Hivi mbona watoto wa daktari wakiamua na wao kuwa madaktari hatuanzishi uzi ? Mtoto wa polisi akiwa polisi, hatuulizani? Mtoto wa machinga akiwa machinga tuko kimya? Mtoto wa kibaka, akiwa kibaka hatukodoi?#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Mkuranga hawapataki tena? Au hawataki kuhojiwa uzanzibara tena?#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Na wakidhulumu haki ya wananchi, wanateuliwa kuwa wabunge.#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini