Zanzibar 2020 Huu sasa ni ufalme; haiwezekani watoto na familia ya Mwinyi iteuliwe kugombea kuanzia Urais hadi Ubunge

Zanzibar 2020 Huu sasa ni ufalme; haiwezekani watoto na familia ya Mwinyi iteuliwe kugombea kuanzia Urais hadi Ubunge

Hahaha Chadema kina wagombea, ACT inawagombea, wasiwasi wenu nini hao wakigombea?!

Siasa haina mwenyewe kuna wakati ni bahati, kama hamuwataki ni vizuri mkajadili watu mbadala wa vyama vingine.
Mnafahamu ccm ina wenyewe na wenyewe ndio hao.

Simamieni vyama vyenu yakwao waachieni, hiyo ndiyo demokrasia, muwakatae kwa kura.

Vyama visiposimamisha wagombea wazuri, hao msiowataka watashinda kweli.
Tunapinga kwanguvu huu mfumo wa viongozi kuanza kurithishana madaraka .tunajenga Tabaka la watawala na watawaliwa.
 
Saana tu
Uk kulikua na David milliband na Eddie Milliband,mmoja waziri wa Mambo ya nje,mwingine kiongozi wa wabunge
Us kulikua na Jeb na George Bush,bill na Hillary Clinton ndio demokrasia ukiona unapata kiungulia usiwape kura tu utapona fasta
Sasa unadhani hao waingereza na wamarekani wanabebwa kindugu kama hawa wakwenu? Wale wana credibility .lakini huku inaangaliwa jina la mwisho la kiongozi kikwete,mwinyi,pinda, lowassa, malecela n.k huku ni kujenga tabaka la watawala na watawaliwa.
 
Tunapinga kwanguvu huu mfumo wa viongozi kuanza kurithishana madaraka .tunajenga Tabaka la watawala na watawaliwa.
Hahaha wameshajua wazanzibari ni mazwazwa, Hussein, Abdallah, Abbas Mwinyi wote wanataka walipwe pesa za bure.

Hussein awe rais, Abdallah na Abbas wawe mawaziri.

Jukumu hilo liko mikononi mwa wazanzibari, wanayo haki kugombea, wapiga kura waamue.
 
Unaonekana una stress ,hapa najaribu kupangua hoja ya usultani kwa mifano,kwa hiyo usultani uk ni halali kisa tu waziri akiendesha baiskeli anajiuzulu?
Very disorganised brain! Hoja hoja gani uliyoiona? Unajua maana ya hoja?
Ndo ubaya wa internet! We are at a level of discussing with stupids; likely to have them and their children at the helm!
 
#Ufalme au?

Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar

Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni

Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda

Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Ni ishara ya familia yenye mapungufu kichwani. Yaani familia haiwasiliani ktk mambo makubwa kama haya? Iko siku watakutana na kuanza kulawitiana!
 
Umwinyi....
Usultani....
Wakimaliza hapo, wanapeana nafasi za uteuzi! Wakurugenzi n.k.

Vijana wanaambiwa wakajiajiri!

Everyday is Saturday..........................😎
Wewe ni bwege na uwezo wako wa kufikiri ni wa kiwango cha vumbi tu.Tangu lini Punda akatawala pori,,,wewe ni mtoto wa mchimba chumvi kazi bora na ilikukuza ni kuchimba chumvi..mbona sijawahi kukusikia au kuona andiko lako manabii ni Wayahudi na Warabu tu.mtoto wa mwanasiasa lzm awe mwanasiasa na wewe mtoto wa undertaker lazima uwe mcheza mieleka..ni " kanuni mzee" wala usiumize kichwa.
 
FRED lowassa
Salma Kikwete
Ridhiwani Kikwete
.....
.....
CCM INA WENYEWE. WENYEWE NDIO HAO. sisi kazi yetu ni kusema MITANO ZAIDI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waendelee kula mema ya nchi
Mungu aingilie kati abadirishe hii kitu!
Tena bora hata lowasa ndo naona huyo mtt 1 tu kwenye siasa. Wengine too much jmn

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Watt wa Nyerere wote wamepigwa chini,duh

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Endelea kupiga mayowe,wenzako wanajilia tu.
 
Wewe ni bwege na uwezo wako wa kufikiri ni wa kiwango cha vumbi tu.Tangu lini Punda akatawala pori,,,wewe ni mtoto wa mchimba chumvi kazi bora na ilikukuza ni kuchimba chumvi..mbona sijawahi kukusikia au kuona andiko lako manabii ni Wayahudi na Warabu tu.mtoto wa mwanasiasa lzm awe mwanasiasa na wewe mtoto wa undertaker lazima uwe mcheza mieleka..ni " kanuni mzee" wala usiumize kichwa.
Wewe wanena....MWINYI MKUU

Everyday is Saturday........................... 😎
 
kila mtu lazima andae mazingira akija kutoka nani atamlinda kabla ya kufa ndo tafasiri yake hiyo kuwa CCM ina wenyewe.

Ata kama ndo mm ningejaza ukoo mzima hadi wapambe
 
#Ufalme au?

Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar

Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni

Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda

Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Hivi mbona watoto wa daktari wakiamua na wao kuwa madaktari hatuanzishi uzi ? Mtoto wa polisi akiwa polisi, hatuulizani? Mtoto wa machinga akiwa machinga tuko kimya? Mtoto wa kibaka, akiwa kibaka hatukodoi?

Lakini wa mwanasiasa akiwa mwanasiasa tunatumbua macho?

Ingia kwenye siasa na wewe uone uonje moto na asali yake, ili uwafundishe wanao siasa, waje waendeshe nchi.
 
#Ufalme au?

Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar

Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni

Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda

Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Mkuranga hawapataki tena? Au hawataki kuhojiwa uzanzibara tena?
 
Mi nilinilivyosikia ya kulwa na doto ndio nilizidi kuchoka.
 
#Ufalme au?

Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar

Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni

Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda

Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Na wakidhulumu haki ya wananchi, wanateuliwa kuwa wabunge.

SMZ will stand for Serikali ya Mwinyi Zanzibar 😀
 
Halafu wanatuma majina ya baba zao waziwazi, usisahahu wamejaa Bank kuu pale! Bandari, TRA, wakuu wa Hospital zote za mikoa na Wilaya! km Malima- Tmk Hosp, Adam Malima-Mara, Asha Mahita -Amana,

Uswahilini hamjui kuongea kiingereza! hawa Kichwani wako vizuri, eti mnakipinga wenzenu walipeleka watoto wao English Media, ili baadaye mtawaliwe! km hivi!
 
Back
Top Bottom