Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Tunapinga kwanguvu huu mfumo wa viongozi kuanza kurithishana madaraka .tunajenga Tabaka la watawala na watawaliwa.Hahaha Chadema kina wagombea, ACT inawagombea, wasiwasi wenu nini hao wakigombea?!
Siasa haina mwenyewe kuna wakati ni bahati, kama hamuwataki ni vizuri mkajadili watu mbadala wa vyama vingine.
Mnafahamu ccm ina wenyewe na wenyewe ndio hao.
Simamieni vyama vyenu yakwao waachieni, hiyo ndiyo demokrasia, muwakatae kwa kura.
Vyama visiposimamisha wagombea wazuri, hao msiowataka watashinda kweli.