Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua hapo, "mwenye unyerere ni honourable Freeman Mbowe"Familia ya Nyerere mwenye unyerere ni honourable Freeman Mbowe
Ata mwenyekiti serekali za mtaa!Hivi hawawezi kumpa Pasco Mayala hata nafasi moja?
Wamwogope mungu
MboweCCM inaweka watoto, wake wajomba kwenye nafasi za kitaifa ili kulinda masilahi yao na familia zao
Kuna mwana CCM mmoja miaka nenda miaka rudi, yeye anaimba mapambio lkn hata huo msosi wa mara mbili kwa siku hamna !!!
MZEE MWINYI ATAENDELEA KUMSIFIA MAGUFULI, KWA SABABU MATUMBO YA WANAFAMILIA YAKE YAMEJAZWA NI KIPOFUUUU.
Ata mwenyekiti serekali za mtaa!
ila na Trump naye ametupiatupia familia yake pale Whitehouse, na wa Zambia naye ktk serikali.yake#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Hii ni zawadi kwa mzee kwa kumsifia mfalme kuwa amefanya mambo makubwa sn na aongezwe kipindi kingine.#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
So sad inasikitishaUmwinyi....
Usultani....
Wakimaliza hapo, wanapeana nafasi za uteuzi! Wakurugenzi n.k.
Vijana wanaambiwa wakajiajiri!
Everyday is Saturday..........................😎
Huu sasa ni UBAGUZI mnaotaka kuwafanyia hawa ndugu. Kwa sababu tu baba yao alikuwa na wadhifa huo, basi iwe nongwa kwa waa, kama watoto kutumia haki zao za kikatiba kuingia kwenye uongozi? SI HAKI MSIWASEMEE MANENO hayo. Sijui kama maneno haya yaliwahi kuelekezwa kwa akina KARUME, binafsi sikumbuki. Tuache vijineno visivyo kuwa na tija kwa Taifa letu. Haya ni maneno ambayo yanaweza kuwaingia wajinga wachache na kuyakuza na kuleta vijineno nchini. ACHENI HIZO.#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Usijali, jecha hayupo mwaka huu.CCM INA JECHA ??
Kwa hiyo na ninyi mnaiga waliyofanya Chadema miaka hiyo?Kwani Ni wakenya hao?
Angalia tu Kama katiba imekiukwa,vinginevyo mpigie kura mtu wa ACT
Kuna wakati chadema walijazana ndugu maahemji na wazazi bunge.ni lakin hukufungua mdomo wako
Sijui nani.. Mizengo PindaFRED lowassa
Salma Kikwete
Ridhiwani Kikwete
.....
.....
CCM INA WENYEWE. WENYEWE NDIO HAO. sisi kazi yetu ni kusema MITANO ZAIDI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waendelee kula mema ya nchi
Hypothetically writing;#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini