Zanzibar 2020 Huu sasa ni ufalme; haiwezekani watoto na familia ya Mwinyi iteuliwe kugombea kuanzia Urais hadi Ubunge

Zanzibar 2020 Huu sasa ni ufalme; haiwezekani watoto na familia ya Mwinyi iteuliwe kugombea kuanzia Urais hadi Ubunge

CCM inaweka watoto, wake wajomba kwenye nafasi za kitaifa ili kulinda masilahi yao na familia zao
Mbowe
Joyce Mukya
JamiiForums1132841034_148x256.jpg


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwana CCM mmoja miaka nenda miaka rudi, yeye anaimba mapambio lkn hata huo msosi wa mara mbili kwa siku hamna !!!



MZEE MWINYI ATAENDELEA KUMSIFIA MAGUFULI, KWA SABABU MATUMBO YA WANAFAMILIA YAKE YAMEJAZWA NI KIPOFUUUU.

Wanatufanya sisi tunye povu wao washibe wanye mavi, Ujinga huu mwisho wake Oktober
 
#Ufalme au?

Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar

Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni

Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda

Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
ila na Trump naye ametupiatupia familia yake pale Whitehouse, na wa Zambia naye ktk serikali.yake
 
#Ufalme au?

Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar

Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni

Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda

Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Hii ni zawadi kwa mzee kwa kumsifia mfalme kuwa amefanya mambo makubwa sn na aongezwe kipindi kingine.
 
Sasa nimejua ni kwa nn mzee mwinyi angependa mtoto wake akichaguliwa rais atawale maisha...
 
#Ufalme au?

Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar

Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni

Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda

Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Huu sasa ni UBAGUZI mnaotaka kuwafanyia hawa ndugu. Kwa sababu tu baba yao alikuwa na wadhifa huo, basi iwe nongwa kwa waa, kama watoto kutumia haki zao za kikatiba kuingia kwenye uongozi? SI HAKI MSIWASEMEE MANENO hayo. Sijui kama maneno haya yaliwahi kuelekezwa kwa akina KARUME, binafsi sikumbuki. Tuache vijineno visivyo kuwa na tija kwa Taifa letu. Haya ni maneno ambayo yanaweza kuwaingia wajinga wachache na kuyakuza na kuleta vijineno nchini. ACHENI HIZO.
 
Kwani Ni wakenya hao?
Angalia tu Kama katiba imekiukwa,vinginevyo mpigie kura mtu wa ACT
Kuna wakati chadema walijazana ndugu maahemji na wazazi bunge.ni lakin hukufungua mdomo wako
Kwa hiyo na ninyi mnaiga waliyofanya Chadema miaka hiyo?
 
FRED lowassa
Salma Kikwete
Ridhiwani Kikwete
.....
.....
CCM INA WENYEWE. WENYEWE NDIO HAO. sisi kazi yetu ni kusema MITANO ZAIDI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waendelee kula mema ya nchi
Sijui nani.. Mizengo Pinda
Anna Malechela
Sijui nani.. Kawawa....
 
#Ufalme au?

Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar

Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni

Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda

Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Hypothetically writing;

Hivi mimi nikiwa, Mhunzi, wanangu nao wakawa wahunzi kuna shida?

Je! Mimi nikiwa Dr. Na wanangu wakawa ma Dr. Lipo tatizo?

Au
Mimi nikiwa mchawi nikawafunza wanangu uchawi na wengine kuwa walozi tatizo liko wapi?

MBONA SISI TUNAHEMKWA KWA VITU AMBAVYO MAJIBU YAKE YAKO WAZI KAMA VAZI LA KAHABA?
 
Back
Top Bottom