paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Kweli bhana, hiyo siyo Sawa kabisa aisee
Haifai na haitafaaa hata kidogo
Haifai na haitafaaa hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali wanayo haki kugombea, sio lazima muwapigie kura.NDUGU YAKE MBONA YUPO
kiongozi hawa watu wamekulia na kukua kwenye siasa ulitaka iwe vipi#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Pinda naye kachomekea mwanae huko Katavi#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
kiongozi keki ya taifa kweli wanaila ila bado hawajashibaNi kweli wangezitafuta kwenye biashara zao.. sio cake ya taifa. Maana wameshakula hiyo cake na wanaendelea kula.. wangewaachia wengine wale pia.. wao wangetafuta nje ya hela za uma. Kama mengi ama bakhressa.. jaribu kuwaza kura za maoni waliogombea na mama salma kikwete kama hata majina yao yamesomwa na kamati kuu
Usijali wanayo haki kugombea, sio lazima muwapigie kura.
Nitashangaa Abbas Mwinyi akiwa mbunge.
Kwani vigezo si elimu ya darasa la saba, kadi ya chama na sh.laki 1 au huko kwenu form ilikuwa million 50?#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
kiongozi kwani umeambiwa mama salma hamtunzi mzee na sidhani kama ni suala la ukwasiHili la Salma Kikwete ni dhahiri mumewe hana power nyumbani kwao juu ya maamuzi ya Huyu mama!
It is beyond belief that she could decide to go and contest a parliamentary seat instead of taking care of an ailing retired politician!! Kama ukwasi Vasco Dagama amejilimbikizia wa kutosha!
Watoto wao, wake zao, familia zao, wao siyo wa kujiajiri ni wa kuhudumiwa na serikali...inasikitisha sana!So sad inasikitisha
Unamfananisha Hliiary na Salma?kiongozi kwani umeambiwa mama salma hamtunzi mzee na sidhani kama ni suala la ukwasi
mbona hillary clinton alikua anawania urais USA na ana ukwasi wa kutosha mi nahisi watu wamezoea siasa na bado wangependa kuwa ktk uongozi
Mbona hapo umemuacha aliyepitishwa juzi Khalfan Kikwete?FRED lowassa
Salma Kikwete
Ridhiwani Kikwete
.....
.....
CCM INA WENYEWE. WENYEWE NDIO HAO. sisi kazi yetu ni kusema MITANO ZAIDI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waendelee kula mema ya nchi
Unatafuta mfano wa UK wakati unajua upuuzi wa nchi zertu hizi? Nawe utakuwa mpuuzi mwingine. UK Waziri anajiuzuru kwa kuendesha gari vibaya. Hapa kwetu waziri haguswi, mkewe, watoto, wakwe, nk. wote hawaguswi kwa sababu tu kuna waziri wanaweza pigiana simu.Saana tu
Uk kulikua na David milliband na Eddie Milliband,mmoja waziri wa Mambo ya nje,mwingine kiongozi wa wabunge
Us kulikua na Jeb na George Bush,bill na Hillary Clinton ndio demokrasia ukiona unapata kiungulia usiwape kura tu utapona fasta
Kwanini Mzee Mwinyi asiseme Magufuri aongeze muda kwa manufaa ya familia yake.#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Unaonekana una stress ,hapa najaribu kupangua hoja ya usultani kwa mifano,kwa hiyo usultani uk ni halali kisa tu waziri akiendesha baiskeli anajiuzulu?Unapoingiza ukoo mzima ktk siasa ina maana ni kama kijiji chenu chote kimekuwa untouchable. Bado tuko hovyo na tunaishia kupata marais hovyo, na upinzani unageuka kuwa hovyo!
Kutoka kwenye u' first lady mpaka ubunge..[emoji44][emoji44]....!!!!....Kuna haja hapa ya marekebisho ya Sheria,iende sambamba na muongozo unaomtaka rais mstahafu kutogombea Tena nafasi yoyote ya kisiasa..Kila mtu ana haki kikatiba, ila mama Kikwete na Mwinyi walichofanya sio sahihi. Mama salma kikwete angeachia hata ukoo mwingine nao ule national cake ya ubunge huko kwao kusini, maana yeye na mumewe wana asilimia 70 ya mshahara wa urais mpaka kufa kwao.
Kuwa naniMbona hapo umemuacha aliyepitishwa juzi Khalfan Kikwete?
Wakina johnthebaptist hao kazi yao kushangilia.[emoji382][emoji382][emoji382]FRED lowassa
Salma Kikwete
Ridhiwani Kikwete
.....
.....
CCM INA WENYEWE. WENYEWE NDIO HAO. sisi kazi yetu ni kusema MITANO ZAIDI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waendelee kula mema ya nchi
Ukisikia tamaa na ubinafsi ndio hivi.Nyerere angekua hai angekemea hivi vitendo hawa wasasa wote matumbo mbele hakuna wa kumnyooshea mwenzie kidole dawa ni wananchi kuwakataa tu.Kila mtu ana haki kikatiba, ila mama Kikwete na Mwinyi walichofanya sio sahihi. Mama salma kikwete angeachia hata ukoo mwingine nao ule national cake ya ubunge huko kwao kusini, maana yeye na mumewe wana asilimia 70 ya mshahara wa urais mpaka kufa kwao.