mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Sasa nimeelewa kwa nini nchi za magharibi hazikutaka kabisa kuihusisha Urusi kwenye kuchunguza kilichotokea kwenye mabomba ya gesi toka urusi. Tuliambiwa gesi ilivuja kumbe siyo kuvuja bali ILIMWAGIKA!! Kuvuja maana yake kuna tundu kwenye bomba.
Kumbe si tundu bali bombomba lilifumuliwa na kipande cha mita 40 kikanyofoka! Putin kama angeona kipindi hicho huenda hasira zingempanda na akalipiza kisasi huenda kwa ukatili zaidi. Baada ya muda kupita, vumbi linatulia hatimaye kampuni ya urusi inayoshughulika na uuzaji wa gesi ikaruhusiwa kujionea maafa!! Looh!! Kipande cha kueleweka cha mita 40 kilipigwa kombora kikanyofoka!
When the September blasts that damaged Nord Stream came up, the Russian president said that Gazprom was allowed to inspect the damage. Sweden had refused to involve Russia in the investigation, citing information “that is subject to confidentiality directly linked to national security.”
The blast “tore off” a 40-meter section of the pipe and separated the lines by 250 meters, Putin said, adding there was “a piece bent by 90 degrees and thrown against another part of Nord Stream.”