kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Sawa nakubali,Sasa nyie warusi wa buza mnaumia nini? Si Badala yake mfurahi kwa kuwa adui yenu ulaya hambaye anawawekea vikwazo kila uchao Sasa ataanza kuuziwa ges mara nne ya bei ya awali??Eti Ulaya na Marekani wameamua kuishi bila gas ya Russia,akili za wapi hizi?Si wangeweka sanctions kwenye hiyo gas?Hiyo ni hujuma ya US,amewazunguka EU Ili awauzie Kwa Bei mara 4 zaidi!Na viongozi wa EU kama mizombie tu,wameshikwa akili na US!Wananchi wao kila siku wanaandamana kupinga vikwazo dhidi ya Russia lakini Yenyewe yamebunda tu!
Badala yake mnaonekana kuumia, Kwa nini? Adui yako si ni vema kumwombea njaa?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app