Huu sasa ni uharamia: Kumbe bomba la gesi Nord 1 lilifumuliwa, kipande cha mita 40 kikatoka!

Sawa nakubali,Sasa nyie warusi wa buza mnaumia nini? Si Badala yake mfurahi kwa kuwa adui yenu ulaya hambaye anawawekea vikwazo kila uchao Sasa ataanza kuuziwa ges mara nne ya bei ya awali??
Badala yake mnaonekana kuumia, Kwa nini? Adui yako si ni vema kumwombea njaa?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Si ndio tunawacheka EU walivyo wajinga,hawasikilizi hata wananchi wao!😃
Au maandamano hamuyaoni nchi za EU?Serikali ngapi zimeanguka kisa vikwazo alivyowekewa Urusi?
Muda utaongea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…