mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hii imevuka mipaka!! Balozi wa Urusi nchini Poland alimwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu wakati akiwa katika harakati za kuadhimisha ushindi wa Jeshi la Urusi dhidi ya majeshi ya kinazi ya Hitler.
Alimwagiwa na waandamanaji wa kike wanaopinga vita nchini ukraine. Hili tukio lilitukia jana tarehe 9/5/2022 huko Poland.
Alimwagiwa na waandamanaji wa kike wanaopinga vita nchini ukraine. Hili tukio lilitukia jana tarehe 9/5/2022 huko Poland.