Huu sasa ni ushenzi: Balozi wa Urusi nchini Poland amwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu

Huu sasa ni ushenzi: Balozi wa Urusi nchini Poland amwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu

Babu yako Macron aliwahi pigwa Kofi ktk hadhara Mwaka jana
 
Wazungu wanadai kustarabika lakini matendo yao ni ya kinyama sana! Ndio maana wanahalalisha hata uchafu wa ndoa za jisia moja. Kwa kawaida Balozi anapaswa kuwa mtu wa kuheshimiwa sana!! Hebu fikiria kama balozi wa Uingereza angefanyiwa hivyo kwa sababu yoyote ile!
Kwani huo mkundu kuna mtu anakulazimisha upanue? Si ni ww na raha zako au shida zako?

Hivyo ushauri tulia, hulazimishwi kuolewa na mwanaume, umetaka mwenyewe afu waanza sema unalazimisha na beberu
 
Wazungu wanadai kustarabika lakini matendo yao ni ya kinyama sana! Ndio maana wanahalalisha hata uchafu wa ndoa za jisia moja. Kwa kawaida Balozi anapaswa kuwa mtu wa kuheshimiwa sana!! Hebu fikiria kama balozi wa Uingereza angefanyiwa hivyo kwa sababu yoyote ile!
Kama hujui wazungu wanafanya sana hiv, hao waingereza unaowasema makamu wa waziri mkuu(John prescot) miaka iliyopita alishawahi kupigwa na yai hadharani na ashawahi pia kumwagiwa maji yote hii watu kuonyesha kuchukizwa na mambo flani.Na huyu jamaa cheo chake ni sawa na makamu wa rais,sema wao wana waziri mkuu sababu wana Malkia,lakin ni mwendesha nchi msaidizi na watu wakampopoa mayai.
 
Kenge wewe. Hii hoja inahusiana vipi na CCM? Mimi Mbona msimamo wangu unaeleweka.

MaCCM nayajua kama majinga zaidi ya hawa
hahaaa thijathema ccm bali sisiemu
 
Mnajibagua wenyew , muslims vs others , Tribalism , urbanism (who is urbanised more) , richism (who is more rich ) , poorism(who is more poor ) , political differences , and regionalism
Kwetu sisi wenyewe kwa wenyewe??? elewa kuwa huo wetu siyo ubaguzi.....ni suuna!....unatabaruku...... au umelewa matango pori!...hiyo hatuzingatii Rangi ya mtu zeruzeru, mweusi tii km jiwe sawa, mweupe pee km jakaya, wema jokate ni sawa tu,

bali tunazingatia usalama tu!! lkn usharika upo pelepale!! ukifiwa/olewa ukiwa hukooo!! uswahilini Mazogoroni. mtu wa msasani, Mbezi beach nk atakuja kushiriki, hata wewe nenda ukitaka Mbezii lkn tu, usiibe!!

Mara ngapi Moslems wanasherehekea X-mass??... Kariakoo pale wakristo wanafuturu kila siku jioni wkt wa mfungo! na wanakaribishana??.

ukimtembelea Mkristo akakuchinjia mbuzi anaitwa jirani Muislamu kupiga ''Allah! wakbar'' anaelekeza mnyama kibra kisu kinapita chwaaa!...km haitoshi oa mmakonde, mchaga, mnyakyusa mkurya Rukhsa, nenda tu na wewe kajenge kipunguni ni sawa tu!

Lkn Mzungu ni marufuku kujichanganya na mweusi popote mpaka leo!....Polisi mzungu, uzunguni ni rahisi kumuwasha risasi Mweusi kuliko mweupe!! lkn hapa Bongo ni tofauti Muhindi anaogopa Polisi mweusi!!.....anakamatwa km wengine walivyo!

wanajaribu kuzibaziba lkn wapi!!.....chuma na udongo vimeshindwa kushikamana! mpaka kesho usibishe tu!
 
Kaka umeandika kisiasa , maisha halisi ya mtaani ni tofauti kabisa , enzi nkiwa chuoni waislamu walipenda kujitenga sana hata mkiwasogelea walikuekea mazingira huisi unachafua atmosphere yao , hata huku mtaani ofisi zenye asili ya uislamu kuajiri mkristu ni changamoto (nadra sana ) , pia hata kwenye kuoana waislamu mnapeana chuki kupinga kuto oana na makafir (nimekutana nayo hii situation , ila pesa ikasolve ujinga huo ) , WAISLAMU kwa zama hizi mnaenezeana chuki sana nimepanda magari ya umma nkakuta mawaidha ya chuki dhidi ya ukristu kwenye hilo gari nlimwambia konda (live) ukiendelea gari itasimama kituoni maana unachafua imani za watu , huu ni usafir wa umma sio gari la shughuli za msikiti , HAPO sijagusia ukabila na classes zinazotokana na elimu na pesa ( zipo kwa wenzetu ila kwetu imekuwa most common ndio maana graduates wetu wameishia kushika remote tu sababu hawataki kujifunza kutoka kwa wasio na vyeti )
 
Hii imevuka mipaka!! Balozi wa Urusi nchini Poland alimwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu wakati akiwa katika harakati za kuadhimisha ushindi wa Jeshi la Urusi dhidi ya majeshi ya kinazi ya Hitler.

Alimwagiwa na waandamanaji wa kike wanaopinga vita nchini ukraine. Hili tukio lilitukia jana tarehe 9/5/2022 huko Poland.

View attachment 2219141
ujumbe umefika
 
Russia inavyopiga mabomu na kuua watu si ushenzi, ila balozi wake akimwagiwa rangi ndiyo ushenzi?

Civil disobedience and protest are parts of the privileges of the open society.

But most likely you would not understand that, you do not come from one.
 
Wazungu wanadai kustarabika lakini matendo yao ni ya kinyama sana! Ndio maana wanahalalisha hata uchafu wa ndoa za jisia moja. Kwa kawaida Balozi anapaswa kuwa mtu wa kuheshimiwa sana!! Hebu fikiria kama balozi wa Uingereza angefanyiwa hivyo kwa sababu yoyote ile!
Kuna wakati bora ufiche ujinga wako.
Kumwagiwa kimiminika ni kutostarabika?

Kwetu tunamwagiana tindikali tuitweje?
Hao watu wanaonyesga kuchukizwa na umwagaji damu wanaofanya Urusi kule Ukrene.

Ushoga...wao wanafanya waziwazi lkn ninyi mnakulana gizani na kuwageuza wake zenu huko nyuma.

Huna hoja.
Tukipima viwango wa ustaarabu mwafrika atawekwa kundi la mnyama.
 
Wazungu wanadai kustarabika lakini matendo yao ni ya kinyama sana! Ndio maana wanahalalisha hata uchafu wa ndoa za jisia moja. Kwa kawaida Balozi anapaswa kuwa mtu wa kuheshimiwa sana!! Hebu fikiria kama balozi wa Uingereza angefanyiwa hivyo kwa sababu yoyote ile!
Wajinga sana hao,huku kwetu kila siku tunatolea mifano eti wao wamestaarabika sana
 
Kaka umeandika kisiasa
Huwezi kukwepa siasa kwa kuwa siasa ni Maisha yetu ya kila siku!! lkn pia ndo ukweli wenyewe!!
enzi nkiwa chuoni waislamu walipenda kujitenga sana hata mkiwasogelea walikuekea mazingira huisi unachafua atmosphere yao ,
Wote humu tumesoma tena sana!! mie nimesoma shule zoote za sirikali Waislamu walikuwa wakifunga ni neema kwet wakristo!! tulikuwa tunagonga ftari usiku wa manane km hatuna akili nzuri!! biala kubaguliwa japo walipika wao!! kusema eti unabaguliwa hizo ni tabia zako mbaya!! hata mie, au ndugu, rafiki, au mkristo mwenzako ukimuonyesha tabia mbaya atakubagua tu!
hata huku mtaani ofisi zenye asili ya uislamu kuajiri mkristu ni changamoto (nadra sana )
Si kweli labda kama hujui Kaz!i nakupa mfano halisi AL JUMAA Hosp. pale kariakoo imeajili wakristo wengi kuliko Waislamu!! Comfort Dispensary Palee mtaa wa siku kuu Imeajili Wakristo wooote na wkt wa siku kuu Mke wa Boss ana mwaga pilau kwa wafanya kazi km hana akili nzuri. usishahu na futari zakila siku jioni!! hao nimewaishi Live!
hata kwenye kuoana waislamu mnapeana chuki kupinga kuto oana na makafir
Kama unatabia mbaya, familia ya kivivu, hasira za hovyo, ukoo wa kichawi/ulevi kupindukia baba mama wote na hujui majukumu yako kwa familia weee! hilo ni kwa kila mtu!! siyo waislamu tu!

siwezi ruhusu binti yangu aolewe na mchawi,Mwizi,kilaza au mlevi! hii si udini, ni hulka ya binadamu wote Duniani bila kujali Dini zao!! kifupi hakuna anae penda kitu kibaya! ukiwa na wazazi wana tabia nzuri tu mtaani,

me/ke lazima utagombewa km mpira wa kona! tena utaliliwa tu! na mupenzi me/ke anaweza badili Dini ajili yako wapo wengi wa ivi!...inaonyesha wewe kati ya wazazi wako au wewe mwenyewe! au wote mna tabia mbovu!

jichunguzeni huenda hao wenzako wanafamilia wamekuficha! watu usiwaone ivo wanakwendaga mbali sana kiuchunguzi!! km hujui jua leo!.......km mwanagu una nyota inawaka!! hutakaa bongo kihasara hata Ulaya utasafirishwa tuu!
HAPO sijagusia ukabila na classes zinazotokana na elimu na pesa
Haya madaraja yako kotekote!!hasa kwa wale wanao jiona dhaifu kifadha! wanawaogopa wenye nguvu kiuwezo.....Km nilivo eleza hapo awali huwezi kukubali binti yako aungane na familia /jamaa lisilo na pesa au Elimuuu!! yaani eti jinga jinga tu/teja....

hili ni kiubinadamu zaidi na wala si Dini. usipolijua hili utazunguka sana kwa sababu unajua unaleta tatizo/mzigo kwenye familia yako watoto watakao zaliwa watasoma vipi bila pesaaa? wakiugua!! kwa nini binti yangu akaishi kwenye shida?? tafuta pesa uwe na amani!

Kwani hujaona mama mtu mzima mkwe anampenda kijana mtaani tu!! tena anamuomba aoe binti yake achague kwake?? km hujapata hii bahati basi jua unatabia mbaya ndo maana unalia hovyo......
ndio maana graduates wetu wameishia kushika remote tu sababu hawataki kujifunza kutoka kwa wasio na vyeti )
Graduate wooote hawafanani wengine waliibia tu!...pia siyo lazima ujifunze ili mradi tu! unajifunza! ...Hekima adabu na heshima kwa wote ndo itakufanya ujifunze, huwezi kujifunza kwa mtu anae kusimanga kwa u- graduate wako na ukamvumilia!!

pili kwani hiyo graduate inakaa usoni?? nikiajiliwa na ambaye hakusoma atanijuaje kuwa niko huko far?? tatizo lako kihererhere!
Graduates Nina vyeti vingi nampa kinacho lingana na Elimu yake huyo anaeniajili!! lengo nipate kazi tu!

kwa mfano hapa napo andika hujui km mie ni graduate au non Graduate!!! huyu anaweza kujifunza popote pale hapa Duniani! akawa salama!
 
Back
Top Bottom