Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Tigo ni mali ya mzalendo wa Taifa gas, anayedai wawekezaji uchwara ni mzigo kwa Watanzania, nia abaki bila ya ushindani akifyonza na kula keki ya taifa kiulaini,Kenya walimshtukia huku anatamba yeye ndie the Don, hao wengine ni wapambe tu ingawa ndio waliomfanya afike hapo wao wamegeuka wapiga makofi.Huu ni uhuni wakuu, Tigo GB moja ilikuwa 1500. Wakaleta mb 900. Juzi zikawa 750. Leo kwa 1500 unapata Mb650. Kwa hesabu
Waziri amegeuka kuwa msemaji wa hayo makampuni.Tigo ni mali ya mzalendo wa Taifa gas, anayedai wawekezaji uchwara ni mzigo kwa Watanzania, nia abaki bila ya ushindani akifyonza na kula keki ya taifa kiulaini,Kenya walimshtukia huku anatamba yeye ndie the Don, hao wengine ni wapambe tu
Watu wanafanya biashara huko Insta, na Tiktok. watu wanapata elimu huko youtube. Wengine wana gigs zao mitandaoni nk nk. matumizi ya internet ni makubwa sana.Punguzini matumizi ya internet yasiyo ya lazima, Mimi natumia JF,Whatsapp,Flash Score,Sportsbet app na Twiter,
Sasa komaa na Tiktok,insta na Youtube u yonywe damu.
Sisi kama watumiaji hatuna cha kufanya?Maadam watumiaji tunaendelea kuweza kununua wataendelea kupandisha. Hawana motisha ya kushusha bei wakati bado tunakamulika.
Siku watumiaji watakapopungua ya kutosha kutokana na kushindwa kuhimili bei, ndipo labda wataanza kushusha, maana faida yao itaanza kupungua.
Kisa wanataka ufadhili waweze kuwa ma CEO wa kampuni. na CEO wa kampuni ameufyata anapoona kibarua wake anakuwa anafanya kazi kwa mtu binafsi.Waziri amegeuka kuwa msemaji wa hayo makampuni.
Basi hii vita ya kuupata UCEO ni pana na kali sana, hadi wa hovyo na sellouts wanautaka.Kisa wanataka ufadhili waweze kuwa ma CEO wa kampuni. na CEO wa kampuni ameufyata anapoona kibarua wake anakuwa anafanya kazi kwa mtu binafsi.
Karibu kulalamikasafi sana, mtalalamika sana nyuma ya kiibodi
Voda nao wamepunguza .Ilikuwa buku mb450 dk30 na sms 10 kwa sh 1000.Sasa mb350 kwahiyo wametulamba mb.Huu ni uhuni wakuu, Tigo GB moja ilikuwa 1500. Wakaleta mb 900. Juzi zikawa 750. Leo kwa 1500 unapata Mb650. Kwa hesabu za uwiano...
Nionavyo hatuna la kufanya zaidi ya kubana matumizi.Sisi kama watumiaji hatuna cha kufanya?