The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Watanzania wengi ni mbegu mbaya, ni wadogo wadogo sana ndio maana huyo jamaa anaonekana mkubwa sana.
Kule Marekani wamejaa, wamejaa nba, wamejaa wwe, wamejaa kwenye body building nk.
Shida yetu ni lishe, lishe mbovu ambayo haina virutubisho vyote.