Huu sasa sio urefu bali ulemavu. Akafanyiwe Oparesheni

Huu sasa sio urefu bali ulemavu. Akafanyiwe Oparesheni

Na huo ndio uongo,hao wengi wako wapi? Si tungeyaona hata kwenye Timu Yao wakiwa wengi na wafupi au average Wakiwa wachache.
Wewe wakili fake wa CCM ni mbishi sana.Nimekutolea na mfano wa yule aliyepindua nchi aliposimama na Paul Kagame lakini wapi!Wewe ni mdumavu huelewi na unasahau haraka.Nisamehe kwa kukutania.🤣🤣🤣🤣🙏
 
Unaowaona kwenye mechi unadhani ni wafupi wale?

Mathalini golikipa wa Mauritania ana urefu wa 1.96m, average height ya timu ya Senegal ni 6+ ft
Sasa huo si urefu tuu wa jamii nyingi?
 
Wabongo wengi vilaza, mnashindwa kutofautisha mgonjwa na asie mgonjwa? Ukimtizama huyo ni mrefu wa asili misuli na umbo limejengeka vyema km mimi shortiii au wewe, huyo wa Ghana ukimtizama tu unamuona ni mgonjwa ni km yule binti wa umiseta ililetwa pic yake nikacomment huyu ni mgonjwa vilaza wakanishutumu kinoma,

Ukuaji wa kimo tunaufurahia ikiwa mtoto yupo balehe akizidi umri huo na bado anakua juwa kuna tatizo tena kubwa sana,
 
Unaowaona kwenye mechi unadhani ni wafupi wale?

Mathalini golikipa wa Mauritania ana urefu wa 1.96m, average height ya timu ya Senegal ni 6+ ft
Na cha ajabu ameanza kwa kuitaja Ghana kama mfano wake mkuu.Anakana kazi ya mikono yake hapahapa.Ndugu yetu mbishi huyo hakyanane!Natamani nimbadilishe na debe la komoni tu ili aondoe ghasia.
 
Wabongo wengi vilaza, mnashindwa kutofautisha mgonjwa na asie mgonjwa? Ukimtizama huyo ni mrefu wa asili misuli na umbo limejengeka vyema km mimi shortiii au wewe, huyo wa Ghana ukimtizama tu unamuona ni mgonjwa ni km yule binti wa umiseta ililetwa pic yake nikacomment huyu ni mgonjwa vilaza wakanishutumu kinoma,

Ukuaji wa kimo tunaufurahia ikiwa mtoto yupo balehe akizidi umri huo na bado anakua juwa kuna tatizo tena kubwa sana,
🤣🤣
ni kweli wana rare syndrome. yupo pia wa Egypt. huyo aliyesimama na JK ni wa asili.
 
Huyu jamaa alienda USA muda Fulani akapiga Sana PESA na kucheza katika timu za vikapu .

Ila naona anakosa Mentor wazuri wa kumshauri ili atumie urefu wake kujipatia kipato .

Wajanja wanamtumia tu
Mwamba umepuyanga. Huyo wa Marekan ni Hashim aliyewahi kucheza ligi ya NBA jamaa yake na Jokate kamwe hawezi kufikia hatua ya kuigiza. Huyu msela anayeonekana hapo ni mtu tofauti na Hashim japo wana ufanano kwa mbaaaali.
 
Back
Top Bottom