Huu sasa sio urefu bali ulemavu. Akafanyiwe Oparesheni

Watanzania wengi ni mbegu mbaya, ni wadogo wadogo sana ndio maana huyo jamaa anaonekana mkubwa sana.

Kule Marekani wamejaa, wamejaa nba, wamejaa wwe, wamejaa kwenye body building nk.

Shida yetu ni lishe, lishe mbovu ambayo haina virutubisho vyote.
 
Unafananisha kiwanja na Tanganyika? Utakua na matatizo wewe.
 
Watanzania wengi ni mbegu mbaya, ni wadogo wadogo sana ndio maana huyo jamaa anaonekana mkubwa sana.

Kule Marekani wamejaa, wamejaa nba, wamejaa wwe, wamejaa kwenye body building nk.

Shida yetu ni lishe, lishe mbovu ambayo haina virutubisho vyote.

Lishe mbovu sana

Wafupi Sana watz
 
NB;Nilikuwa naangalia campaign ya UVCCM kupitia Wasafi media,vijana wenyewe ni vimtu vifupifupi tupu vinacheza miso misondo huku vimepiga kata k.Hopelesses kabisa!
 
🀣🀣🀣🀣 Umeshaangalia anavyotembea? ili tujue which is which, hujafikiria je ni overfeeding? pia mimea iliyoko karibu na ukuta huwa ina urefu wa ziada kukimbilia mwanga juu.
 
Sio West Africa,watu warefu wapo South Sudan
 
🀣🀣🀣🀣 Umeshaangalia anavyotembea? ili tujue which is which, hujafikiria je ni overfeeding? pia mimea iliyoko karibu na ukuta huwa ina urefu wa ziada kukimbilia mwanga juu.
Anatembea kibabe na mapozi.Siyo kimtu kinatembea utadhani kinakwepa mishale au kinaogopa kusombwa na upepo.🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…