Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
CCM hawana uhalali wa kuongoza nchiBy John Pambalu kupitia twitter(kamnukuu kwenye clip iliyoko katika akaunti yake ya twiitter).
"Mimi nilikua Mkuu wa kikosi Cha Jeshi ,wakati hairuhusiwu afisa wa jeshi kushiriki kwenye mambo ya kisiasa lakini Mimi nilishiriki, biliwapa Lita 200 za Mafuta CCM Mwaka 2007" Kanari Ngemera Lubinga.
Wamejaa DamuCCM hawana uhalali wa kuongoza nchi
Damu DamuHuwezi kutofautisha jeshi la wananchi na wananchi!
Mungu anawatia upofu hata wafarakane na iwe mwisho wa mipango Yao ovu dhidi ya taifa la Mungu🤔.CCM wamenyimwa maarifa na kujazwa kiburi na matokeo yake baadhi yao wanaropoka tu
Ccm ni kama Taleban tuBy John Pambalu kupitia twitter(kamnukuu kwenye clip iliyoko katika akaunti yake ya twiitter).
"Mimi nilikua Mkuu wa kikosi Cha Jeshi ,wakati hairuhusiwu afisa wa jeshi kushiriki kwenye mambo ya kisiasa lakini Mimi nilishiriki, biliwapa Lita 200 za Mafuta CCM Mwaka 2007" Kanari Ngemera Lubinga.
Ni wazi hata kampeni wanafanya kwa kutumia hela za serikali.CCM hawana uhalali wa kuongoza nchi