Huu sio uungwana, Makomandoo wa Yanga wamshushia kichapo kikali shabiki wa Yanga

🤣🤣🤣🤣
 
Hapo nimeelewa, huyo shabiki wa kina domo kaya. Makomandoo walikuwa wanamvutia tu kasi. Nachokipendea Yanga, wee jichanganye ukae upande wetu. Halafu ushangilie dunduka, tutapasiana kama kitenesi huo mwili wako.
 
Kuna siku utatiwa vidole watu waangalie tu kwa kisingizio cha kichokoraa kama hiki. Mpira ni mchezo wa furaha na uvumilivu.huyo dogo kuna baya gani kazungumza hapo? Na kama lingekuwepo why apigwe asijibiwe kwa maneno?huo ni udhaifu na tabia hizi za kushadadia violence wewe unajita jina la kike utafanywa kama ambavyo alifanywa yule binti na wanajeshi watu wasikutetee. Muwe mnapata elimu hata kwa level ndogo tu kuwafundisha ustaarabu
 
Yanga ni vibaka mpaka walimuibia simu mchezaji wao badala ya kumlinda!
 
Sio kutiwa vidole..atabakwa live na hakuna mtu atamsaidia, mtu njiani huyu anapita anaangalia tu huku akitembea, mwingine anachat kabisa
 
Hapo nimeelewa, huyo shabiki wa kina domo kaya. Makomandoo walikuwa wanamvutia tu kasi. Nachokipendea Yanga, wee jichanganye ukae upande wetu. Halafu ushangilie dunduka, tutapasiana kama kitenesi huo mwili wako.
Jaribu pia ukae upande wa Mnyama halafu ushabikie Uto uone kama huo Mwiko Nyuma utabaki.
 
Hiyo timu ni ya wahuni tu.Wakishinda wanafanya ngono hadharani,wakishindwa wanapigana
 
Yanga wahuni tu. Mashabiki wengi wa yanga masela
 
Walicho mfanya dogo ni sawa na walicho mfanya Ally Kamwe tofauti ni Kamwe kubebwa na dogo kupigwa
 
Two things are infinite in this world: the universe and human stupidity;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…