Huu sio uungwana, Makomandoo wa Yanga wamshushia kichapo kikali shabiki wa Yanga

Huu sio uungwana, Makomandoo wa Yanga wamshushia kichapo kikali shabiki wa Yanga

Jamani Tanzania ni nchi ya amani, na pia katika upande wa michezo tunaamini katika fair play na uhuru wa kutoa maoni bila kufanyiwa ukatili.

Kuna video inasambaa kwa kasi kubwa mitandaoni ikimuonesha shabiki wa Yanga akijaribu kutoa maoni yake na kuwafariji mashabiki kua ni hali ya mchezo wa mpira wa miguu ukifungwa unakubali unajipanga.

Lakini katika hali usiyo ya kawaida walitokea wanaosemekana ni MAKOMANDOO wa Yanga na kuanza kumpiga shabiki huyo makofi na ngumi na mateke, na kijana wa watu japo alikua anakimbia kujihami lakini bado walikua wanamkimbiza huku wakiendelea kumshambulia.

Jambo hili ni baya sana na linachafua mpira wa miguu. Uongozi wa yanga ukishirikiana na mamlaka za kisalama pamoja na Bodi ya Ligi ziwachukulie hatua kali sana WAHUNI hao wanaojiita makomandoo wa yanga.
Yani wampige tu bila kosa lolote wamekuwa vichaa? Lazima Kuna kitu kafanya sio Bure au ndio wale mapandikizi ya Simba yanayojivika uyanga yanakwenda kuichafua klabu kwa kuongea ujinga, kama ni ivyo acha apate stahili yake
 
Hapo nimeelewa, huyo shabiki wa kina domo kaya. Makomandoo walikuwa wanamvutia tu kasi. Nachokipendea Yanga, wee jichanganye ukae upande wetu. Halafu ushangilie dunduka, tutapasiana kama kitenesi huo mwili wako.
Umeongea kishujaa kumbe mrembo tu hata panya unaogopa😂😂😂
 
Mashabiki wa yanga waliua mtu arusha kwenye fainali ya AZAM sports confederation nilikuwepo siku hyo kiufupi yanga hawajielewi.
 
Kuna siku utatiwa vidole watu waangalie tu kwa kisingizio cha kichokoraa kama hiki. Mpira ni mchezo wa furaha na uvumilivu.huyo dogo kuna baya gani kazungumza hapo? Na kama lingekuwepo why apigwe asijibiwe kwa maneno?huo ni udhaifu na tabia hizi za kushadadia violence wewe unajita jina la kike utafanywa kama ambavyo alifanywa yule binti na wanajeshi watu wasikutetee. Muwe mnapata elimu hata kwa level ndogo tu kuwafundisha ustaarabu
Hebu nitokee kule umezoea kutiwa vidole eeh. Achana namimi eti mtu asiyejulikana hapo tu hina akili kujiita hivyo. Kafie mbele na umeshaingia kwenye 🚮
 
Sio kutiwa vidole..atabakwa live na hakuna mtu atamsaidia, mtu njiani huyu anapita anaangalia tu huku akitembea, mwingine anachat kabisa
Umezoea kubakwa shetanibwa mguu mmoja wewe. Hebu nitokeeni huko. Nimeshaandika na la kunifanya hamna. Nakutupia kwenye 🚮
 
Hebu nitokee kule umezoea kutiwa vidole eeh. Achana namimi eti mtu asiyejulikana hapo tu hina akili kujiita hivyo. Kafie mbele na umeshaingia kwenye 🚮
Sasa mbona unapaniki? You shouldnt. Haya mambo hayataki hasira. Ukifungwa ni sehemu ya mchezo siyo unatoa povu sehemu zako zote za wazi zinatoa povu. Hujui mpira unapapatika tu. Kuna siku utafanywa kama walichofanya wanajeshi tutakuwa tunakuangalia tu sababu you dont use your brain at all.
 
Made in Africa!!
Kwa staili hii kila mwana uto atapigwa tu, maana hakuna namna!! Yaani msg ni kuwa hakuna kuongea kuhusu uongozi na kufungwa!
This is very shameful!!

Shida ya Yanga ni ndogo, ni timu kuacha kucheza ile total football, tulizoea timu ikipanda inapanda yote na ikishuka inashuka yote na ikiwa haina Mpira inakaba kwa kasi tena watu watatu wakimkaba mpinzani alie na mpira, staili ilianzishwa na Nabi , kocha Gamondi akaendeleza na kwenda kuiharibu mbeleni, Yanga irudishe ile staili basi kazi kwisha.
 
Huu ni ushenzi. Tunashindwa kutoa maoni kuhusu timu?

Hivi hawa viongozi wanajiona akina nani?

Kwa ngazi ya taifa(serikali) tukandamizwe, sasa hata kwenye vilabu vyetu?

Hii nchi imekua ya kipumbavu sana.
 
Hapo nimeelewa, huyo shabiki wa kina domo kaya. Makomandoo walikuwa wanamvutia tu kasi. Nachokipendea Yanga, wee jichanganye ukae upande wetu. Halafu ushangilie dunduka, tutapasiana kama kitenesi huo mwili wako.
nilikua nakuheshimu....
ila ntaendelea tu kukuheshimu
 
Nimeona hizo clips, wazo la ghafla likanijia.

Nikasema kama Yanga wana mabondia wa aina hii kwanini wanatumia njia ndefu kutafuta kombe??

Kwanini wasiwatume hawa vibopa wakalichukue kimabavu tu kuliko kuwachosha kina Mpumelelo wawatu?

Kwasababu mimi nahakika kabisa kwa nilichokiona kwa wale majamaa watatu wakiliamsha pale CAF ni zaidi ya Expendable. Lazima kombe waachie.
Ukiangalia logo ya yanga...hao makomandoo wapo!!!
 
Safi sana, ZIkisambaa clip mbili tatu za aina hii wale wote wanaojifanya Yanga kumbe ni makolo wanaotaka kuzungumza kwa lengo la kuichafua na kuleta taswira mbaya kwa club hususan timu ikifanya vibaya, Waogope. Sasa hivi mpaka uhojiwe inabidi uwe Shabiki kweli na unayejulikana ikibidi uwe na kadi ya mwanachama 😀 Hatutaki Mamluki
 
Back
Top Bottom