Huu sio uzinifu?

Huu sio uzinifu?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Hivi kufanya imagination kwa sisi wanaume unapokaribia kutoa wazungu kuwa una Lucy wakati mpo na Neema sio uzifu?

Hata wanandoa wengi utamu ukikolea huwa wanapiga imagination kuwa Wana mtu fulani tofauti na mke au mme wake ndipo wanafika kileleni haraka.

Hali kadharika wapiga ponyeto nao hufanya hivyo imagination kuwa yupo na Neema mpaka anamwaga.

Swali Ni je wataalam wa Mambo ya kiiman na kiroho kitendo hicho kinasmama wap?

Wachungaji, Mashehe, Mapadre na Maaskofu nawakaribisha kutupatia elimu juu ya hili.

NB: Hiki kitendo kila mtu huwa anafanya kwa hyo Kama Ni dhambi hakuna atakaepona
 
Ondoa alama ya kuuliza kwenye heading ya Uzi huu na utakua umepata jibu sahii.
 
Kwa hiyo tufanye nn ili tuondokane na dhambi?
Kwa nini uvute picha ya mtu mwingine? Huyo uliyenaye ilitokea kuwa naye kwa bahati mbaya? Kama si bahati mbaya basi ipo shida mahali.
 
Kwa nini uvute picha ya mtu mwingine? Huyo uliyenaye ilitokea kuwa naye kwa bahati mbaya? Kama si bahati mbaya basi ipo shida mahali.
Hiv hisia ni conscious au unconscious???
 
Back
Top Bottom