44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Hivi kufanya imagination kwa sisi wanaume unapokaribia kutoa wazungu kuwa una Lucy wakati mpo na Neema sio uzifu?
Hata wanandoa wengi utamu ukikolea huwa wanapiga imagination kuwa Wana mtu fulani tofauti na mke au mme wake ndipo wanafika kileleni haraka.
Hali kadharika wapiga ponyeto nao hufanya hivyo imagination kuwa yupo na Neema mpaka anamwaga.
Swali Ni je wataalam wa Mambo ya kiiman na kiroho kitendo hicho kinasmama wap?
Wachungaji, Mashehe, Mapadre na Maaskofu nawakaribisha kutupatia elimu juu ya hili.
NB: Hiki kitendo kila mtu huwa anafanya kwa hyo Kama Ni dhambi hakuna atakaepona