Uchaguzi 2020 Huu u-chifu Zanzibar unakubalika?

Kama wanna Sifa sioni shida na hussen Katia Nia na sio kawa rais. Mbarawa kuchukua au kakatwa kuchukua fomu?
Huseni hana makuu Sidhani kama alijiandaa sana katika hilo inawezekana ameweka kwenye mzani na kaona kakake Amani kachukua form ni mapambano ya kifamilia ambayo haiwezi kuwa na Tina sana kwa Taifa LA Z'bar.
 
Ule sio ufalme, angalau ufalme uko kama Oman, Saudia, Qatar, Brunei nk na hizo nchi zote maisha ya watu wanakula bata, Brunei [emoji1057] nchi yake ni ya kifalme but ni miongoni mwa nchi Tajiri, sasa tunapoongelea znz niya kisultani huwa inachekesha sana, bora kiitwe kikundi chenye maslahi kwao kinachoekwa kwa mitutu ya bunduki, yaani kipokipo tu amna maendeleo yyte, wapo pale kulinda mapinduzi
Wacha tuu znz itawaliwe kifalme Kama uarabuni. HAKUNA namna nyingine
 
Kama wanna Sifa sioni shida na hussen Katia Nia na sio kawa rais. Mbarawa kuchukua au kakatwa kuchukua fomu?
Unadhani watoto wa machief enzi zile hawakuwa na sifa? Kinachofanyika sasa ni gelesha tu ya kukaribisha na wengine kuchukua fomu ili kuhalisha tabia zile zile za utawala wa kichief
 
Mbaya ni mwarabu, lakini uchifu, usulutani kwa waafrika unakubalika kabisa! Hawana hata aibu! Mwafrika ameoza akili , shithole!
 
Usifananishe usultani na kikundi cha wahuni, nchi zenye usultani life lao ni zuri sana na labata, hao wanaotawala zanzibar ni kikundi cha wahuni waliowekwa apo kutekeleza maslahi ya wakubwa chini ya mtutu wa bunduki, usulani mnaujua nyinyi? Mnamjua mfamle wa Qatar na nchi yake ilivyo? Mnajua Qabus wa Oman na nchi yake ilivyo?
 
Tuwakatae
 
Ila kama mtu ana vigezo vyote vinavyostahili apitishwe bila kuzingatia ni mtoto wa nani
 
Na baba yake na Seif alikua na Cheo gani hapo Zanzibar?
Hivi unahangaika nini? Hemu fanya mambo yako unabishana na mjinga ukishakuwa ccm wana mtambo wa kulegeza nati za kwenye ubongo. Waangalie Polepole,Bashiru,Kabudi wote wamelegezwa nati zimekuwa kama Lusinde,Bashite,Msukuma na Mlinga
 
Bila familia ya mzee mwinyi, na Karume kutawala Zanzibar hakuna tena mwingine anaeweza kutawala hata huyu anaeondoka ni kwa sababu tu alikubali kunyenyekea miguuni kwao ndo maana urais wake ameumaliza kwa amani
 
Hao wafalme ndio wenye ccm yao ni lzm warithishe watoto na wajukuu zao
 
Kweli Karne hii mnateua mgombea ambaye Baba yake aliwahi kuwa rais

Hivi hakuna wagombea wengine, Karume baba yake alikuwa rais, Hussein Mwinyi Baba yake alikuwa raisi

Hakuna wengine wa kuwa marais mpaka watoto wa maraisi wajirudie?

Huu si Usultani?

Chama kikongwe kwa maamuzi haya ni aibu.
 

Hili ni moja ya sababu ya anguko la CCM Zanzibar. Bila ya Jecha mwingine, tayari Maalim Seif ameshashinda URAIS Zanzibar.
 

Kwenu kuna sheria maalim asigombee kwa sababu ni mzee?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majibu majarabu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…