Uchaguzi 2020 Huu u-chifu Zanzibar unakubalika?

Usultan mnafanya nyinyi wapinzani, toka 1995 Hadi leo mgombea ni Maalim Seif.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama Kura 129 na hiyo 78% aliyoipata imekuja kwa bahati mbaya. Wana CCM wanajua mengi Kutushinda hivyo tuheshimu Walichokiamua.
 
Sioni tatizo as long as amefuata taratibu halali za kumuwezesha kufuka alipo.
Mtu youote anaekidhi vigezo anayo haki ya kuomba kuteuliwa cheo chochote, Makingoro Nyerere aliomba kuteuliwa kuwa rais wa JMT na hakukua na kosa lolote.
 
Bendera fuata upepo jikite kwenye mada baba yako hajabalehe amekuzaaje?
 
Sidhani kama Kura 129 na hiyo 78% aliyoipata imekuja kwa bahati mbaya. Wana CCM wanajua mengi Kutushinda hivyo tuheshimu Walichokiamua.

CCM ina wenyewe Watanganyika. Wazanzibari ndani ya CCM bado hawajalijuwa hilo
 
Hivi hakuna watu wengine wanaoweza kuwa marais ,mpaka wawe watoto wa Marais wastaafu Muwe mnaelewa hoja .

Tatizo wamezoea kukaa barazani Lumumba kusubiri buku 5,na kuja humu JF kutapika
 
Chama cha wanyonge kina wenyewe, watoto wa apeche alolo mtaishia kuweka majukwaa na kuwapigia makofi watoto wa wapigiwa kura.
Naona mzee Mwinyi kalipwa fadhila za kukubali kuwa hakuna rais aliyefanya vizuri toka Nyerere mpaka sasa ,maoni jicho la tatu.
 
Kwahiyo aliyempitisha ni Magufuri sio Halmashauri Kuu?
Mimi sikushangaa, kwani ccm wanasema wanautamaduni wao, na ndio huo, Wapo WENYECHAMA na WANACHAMA. Mzee ruksa hadi anaomba Magufuri atawale milele hivi hamkulijua hilo, AISIFUYE MVUA IMEMNYESHEA
 
Hivi hakuna watu wengine wanaoweza kuwa marais ,mpaka wawe watoto wa Marais wastaafu Muwe mnaelewa hoja .

Na ni wapi katika Katiba ya Tanzania au hata ile ya CCM imesema kuwa ukiwa Mtoto wa Rais basi hupaswi nawe kuwa Rais? Hebu acha kuwa Juha.
 
Chama cha wanyonge kina wenyewe, watoto wa apeche alolo mtaishia kuweka majukwaa na kuwapigia makofi watoto wa wapigiwa kura.
Naona mzee Msinyi kalipwa fadhila za kukubali kuwa hakuna rais aluyefanya vizuri toka Nyerere mpaka sasa ,maoni jicho la tatu
We Pimbi usifikili tunaandika tusivyovijua ,ccm inamilikiwa na koo ishirini na saba tu ,muwe mnasoma historia sio kukurupuka .
 
Sidhani kama Kura 129 na hiyo 78% aliyoipata imekuja kwa bahati mbaya. Wana CCM wanajua mengi Kutushinda hivyo tuheshimu Walichokiamua.
hatuwezi kuheshimu maamuzi mauchafu
 
Kwa tume huru wasingeweza kufanya haya,Ila kwakuwa mwenye kuamua Nani awe rais ni tume basi nyamazeni tu
 
Chama cha wanyonge kina wenyewe, watoto wa apeche alolo mtaishia kuweka majukwaa na kuwapigia makofi watoto wa wapigiwa kura.
Naona mzee Msinyi kalipwa fadhila za kukubali kuwa hakuna rais aluyefanya vizuri toka Nyerere mpaka sasa ,maoni jicho la tatu
We Pimbi usifikili tunaandika tusivyovijua ,ccm inamilikiwa na kio ishirini na saba tu ,muwe mnasoma historia
Na ni wapi katika Katiba ya Tanzania au hata ile ya CCM imesema kuwa ukiwa Mtoto wa Rais basi hupaswi nawe kuwa Rais? Hebu acha kuwa Juha.
Mmezoea ndio mzee ,hata kuumiza kichwa kureason hamna , premature green imbecile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…