Huu u single vepee, mbona umeniganda?

[emoji23][emoji23]si unafahamu kuwa huwezi kuwa na mtu kwenye mahusiano kwa kumuonea huruma eeee..ehee.

Ni kweli tupo wengi na nyie mpo wachache hilo liko wazi,lkni ni lazima apatikane kati ya hao wachache mmojawapo akaniweka ndan kihalali.naamini
Kwan mim ntakuweka ndan kimagumash enhee?
 
Lol sijui umewaza nini...

Kama unakumbuka ulisema unataka kunisaidia..hapo ndipo tulipoanzia,cjui unakumbuka!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unataka unisaidie tutani eee
 
[emoji23][emoji23]si unafahamu kuwa huwezi kuwa na mtu kwenye mahusiano kwa kumuonea huruma eeee..ehee.

Ni kweli tupo wengi na nyie mpo wachache hilo liko wazi,lkni ni lazima apatikane kati ya hao wachache mmojawapo akaniweka ndan kihalali.naamini
Muhurumie mwenzio wee dada
Bahat kama hizo ni nadra sana
Ikizingatia mpo billion 2 dunian
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wenye sifa za kuoa hatufiki hata billion 1
 
Lol sijui umewaza nini...

Kama unakumbuka ulisema unataka kunisaidia..hapo ndipo tulipoanzia,cjui unakumbuka!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unataka unisaidie tutani eee
Huo ni msaada cz kwenye population list wew mwenyewe umeona mlivyo weng so by any means kuja kwako inakuwa kama msaada japokuwa hutak kurecognise na ku appriciate
 
Muhurumie mwenzio wee dada
Bahat kama hizo ni nadra sana
Ikizingatia mpo billion 2 dunian
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wenye sifa za kuoa hatufiki hata billion 1

[emoji23][emoji23][emoji23]Bonny njoo huku umepata mtetezi
 
Huo ni msaada cz kwenye population list wew mwenyewe umeona mlivyo weng so by any means kuja kwako inakuwa kama msaada japokuwa hutak kurecognise na ku appriciate

Haya acha nikubaliane na wew kuwa mnatoa msaada.
Lkin mimi sihitaji msaada fulu stop
 
Njoo pm tulonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…