Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Kwan mim ntakuweka ndan kimagumash enhee?[emoji23][emoji23]si unafahamu kuwa huwezi kuwa na mtu kwenye mahusiano kwa kumuonea huruma eeee..ehee.
Ni kweli tupo wengi na nyie mpo wachache hilo liko wazi,lkni ni lazima apatikane kati ya hao wachache mmojawapo akaniweka ndan kihalali.naamini