mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Mashabiki watavumilia mvua kweli mamy?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] njoo tu afu tugonge show mvuani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baby we kibokoespy nafikiri bado kikojoleo cha mmeo unakipenda mama au?
Haya mchukue haraka nisije nikamtia busha la gunia la magimbi.
Basii namnunia[emoji17]Hivi mamy umeanza lini kuchekeana na MO11
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] is up to themMashabiki watavumilia mvua kweli mamy?
Kaa naye mbali sawa! Kazi yake ni kuchezea wake za watu... atatuvurugia mipango yetuBasii namnunia[emoji17]
Acha ushilawadu mkuu hakuna aliekuuliza habari za daby hapami najua kabisa Daby hajatulia habari zake zimesambaa humu
sio ushilawadu ila ni ukweli usiotaka kuujua ukiniamini nitakupa access ya account yake hapa jfAcha ushilawadu mkuu hakuna aliekuuliza habari za daby hapa
Uko wapi mi nipo single naitwa imahata sielewi kwanini nipo single hadi mida hii...
huku nakoelekea ni kwenye album sasa....
mitaa gani kuna ma single boy,nianze kutoka toka nje labda wataniona....
ni cinemas au restaurants???
ni beach au kwenye events???
fancy places au maofisini???
uwanjani au clubs???
supermarkets au vituoni??
misikitini au kanisani???
Haya nipe[emoji4]sio ushilawadu ila ni ukweli usiotaka kuujua ukiniamini nitakupa access ya account yake hapa jf
NishamsomaKaa naye mbali sawa! Kazi yake ni kuchezea wake za watu... atatuvurugia mipango yetu
hataki nikuambie ukweli shem DarlingBasii namnunia[emoji17]
Baby niletee BIG BOM[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] hatwareeeUko wapi mi nipo single naitwa ima
0653424543
[emoji23][emoji23][emoji23] hahaha.. haya mamy chochote utakachosema hata ukisema nimteke makondakta nitamleta mimi kwani shingapi bwana....Baby niletee BIG BOM[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata nikiujua huo ukweli utakuwa hauna kwangu so kaa nao tuhataki nikuambie ukweli shem Darling
inabidi tukubaliane kwanza vigezo na masharti kuzingatiwaHaya nipe[emoji4]