Huu u single vepee, mbona umeniganda?

Huu u single vepee, mbona umeniganda?

shida yenu mkiwa na miaka 18 mpk 28 mnaringa sana sasa mkishafikisha 30 ndo mnaanza kuwa wapole huku mkiwa mshashuka soko
 
hata sielewi kwanini nipo single hadi mida hii...
huku nakoelekea ni kwenye album sasa....
mitaa gani kuna ma single boy,nianze kutoka toka nje labda wataniona....

ni cinemas au restaurants???
ni beach au kwenye events???
fancy places au maofisini???
uwanjani au clubs???
supermarkets au vituoni??
misikitini au kanisani???
Uko wapi mi nipo single naitwa ima
0653424543
 
Back
Top Bottom