Huu u single vepee, mbona umeniganda?

Huu u single vepee, mbona umeniganda?

teenwolf njo tuuondoe huu usingo wetu kama tuta-match.
Maana hata mie sijielewi et naenda wap
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hahaha.. haya mamy chochote utakachosema hata ukisema nimteke makondakta nitamleta mimi kwani shingapi bwana....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuaminiaaa
 
Itakua sehemu uliyopo ulishapigwa na wanaume wengi bila kujali wana umri gani,nakushauri omba likizo kazini uende mkoa mwingine,ukifika kaa hata miezi mitatu uishi kinafiki,bilashaka kuna mtu atakuja kwako akiwa serious na ndoa.Epuka kuzoea wanaume harakaharaka,wengi wetu huwa tunamchukulia mwanamke anayezoeazoea wanaume kwa muda mfupi,muongeaji sana,ni rahisi kumtongoza na nivigumu kuamini kua atakataa tofauti na wanawake wale ambao ni wachangamfu kiasi au wapole.Kama lengo lako ni kupata mwanaume ambaye ni mtumishi wa umma,subiri ajira zikitoka ndo uombe likizo,utawadaka tu hasa maaskari polisi na watu wengine wa cadre nyingine.
 
espy nafikiri bado kikojoleo cha mmeo unakipenda mama au?

Haya mchukue haraka nisije nikamtia busha la gunia la magimbi.

Mkuki kwa nguruwe eeeh!! Muache mume wangu nae ajifariji kidogo. Sina wivu saaaana.
 
3974181d709d526d17785dedf2eb8aaa.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
Unahitaji ALFA WOLF
 
Back
Top Bottom